The Technologist
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 1,394
- 2,801
Naomba kwa wataalamu humu mniambie Mimi ni mtu wa Aina gani kwa izi sifa zangu;
- Mimi ni mkorofi (tokea utotoni napenda Sana ugomvi na sehemu zenye ugomvi na shari)...
Sehemu zenye watu wengi means kwenye mashuhuli(sherehe) but sehemu yenye vurugu vurugu ata kukiwa na wengi syo tatizoMbona haueleweki hupendi party na sehemu zenye watu wengi alafu unapenda fujo fujo sasa hizo fujo unafanya ukiwa pekeyako?
Nahisi shida yako umeruka stage yani mambo ambayo ulitakiwa uyafanye ukiwa under 18 wewe unayafanya sasa
Sent using Jamii Forums mobile app