Naomba kujua mimi ni kundi gani /mtu wa aina gani

Wewe ni Psychic Mkuu.
Nenda kwa wataalamu wa akili wakuweke sawa..
Soon nataka nitafte mtaaalamu wa akili ndo maana nmepost hii thread ili ata nijue wapi pa kuanzia nahisi Nina matatizo ya kisaikolojia
 
Duuuh mbna tunatishana mkuu alafu ntafanyaje na mm siamini hao viumbe
An
 
Duuuh mbna tunatishana mkuu alafu ntafanyaje na mm siamini hao viumbe

An
Hizo sio tabia za binadamu wa kawaida, ni hao viumbe wamekuvaa ama amekuvaa.
Na kukurahisishia usizunguke sana tafuta Mtaalam wa kutoa majini mwambie akuchunguze kabla, atakupa majibu haya haya.
Jambo la kushukuru ni kuwa hujafungwa kujitambua...
Kuamini isikupe shida sana, utapotibiwa ukapona imani yako itaanzia hapo!
 
Naomba msaada wako Kama Kuna mmoja unayemjua uniunganishe nae Mkuu
 
Ww ni mkorofi halafu unakua na huruma hapo umenichenga
 
Wewe ni wa kike?

Una hisia na wanaume ama una hisia na wanawake wenzako?

Ukipigwa paipu unajisikia utamu ama huhisi chochote?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…