Naomba kujua mimi ni kundi gani /mtu wa aina gani

Soon nataka nitafte mtaaalamu wa akili ndo maana nmepost hii thread ili ata nijue wapi pa kuanzia nahisi Nina matatizo ya kisaikolojia

Sasa huyo mtaalam akikuongelesha uongee pia usimuanzishie balaa
 
Wewe ni wa kike?

Una hisia na wanaume ama una hisia na wanawake wenzako?

Ukipigwa paipu unajisikia utamu ama huhisi chochote?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] para ya mwisho Mamaeee [emoji119][emoji119][emoji119]
 

Wewe ulikua abused utotoni!! kifupi umekua katka mazingira s rafiki kwa makuzi ya mtoto na saikolojia ya akili ndo maana kila ktu kziur kwako shida

mtafute mwanasaikologia ama sivyo ww n bomu kwa jamii au familia yako!!
Inshot watu wanaofanyaga unyama wako sampuli yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…