Kibaka mshenzi.Naomba kwa wataalamu humu mniambie Mimi ni mtu wa Aina gani kwa izi sifa zangu;
- Mimi ni mkorofi (tokea utotoni napenda Sana ugomvi na sehemu zenye ugomvi na shari)
- Mimi ni mkimya (yaani sipendi kuongea na pia sipendi mtu aniongeleshe kwa muda mrefu nachukia sana yaani natak nikiwa na wewe ukae kimya 🙏
Ngja nigoogle nione Kisha ntafanyia kazi ushauri wako chiefMultiple personality disorder (MPD)
Pole sana Chief, jaribu kwanza kutafuta articles zinazozungumzia hiyo kitu hapo juu, jisomee mwenyewe huku ukitafiti kama unaendana na hio disorder then ndipo utafahamu ni msaada wa aina gani unahitaji.
Binafsi kwa haya maelezo yako mafupi naweza kusema hiyo MPD inakuhusu ila inahitaji kwenda ndani zaidi kwenye mizizi kujua hasa namna ya kukutibia.
Husithubutu kwenda kwa “waganga” na “waganguzi”, yours is a psychological problem. Self inflicted. Inborn mostly from over hyped ego or/& insecurity issues.
Prayers do help, only if you know the root cause.
Ata mimi nachukuliaga it's just a lifestyle na sometimes nafurahi tu but Kuna muda aiseee naona Kama nakuwa kichaaa kabisa ila hakuna siku inawez pita Mimi kusa off mood yaan nafurahi dakika mbili dakika mbili mawazo ayo ndo maisha yanguHakuna haja ya pole sababu kwangu sioni kama ni disorder bali it's just a lifestyle, napata muda mwingi kusolve mambo yangu binafsi pia muda wa kutosha kujifunza vitu vipya through articles na site mbalimbali
Anapenda kukaa peke yake lakini hapohapo anapenda kampani hasa za waliochangamka.......ngumu sana kumuelewaMaelezo yako yanaenda mbele na kurudi nyuma.
Ww ni mpole mara hapohapo ni mkorofi. Hapohapo una huruma huku unapenda ugomvi. Hapo hapo hupendi kuongea mara huwa unaongea.
Labda tu niseme ww ni kichaa.
100%Personality disorders, zinataokana na namna ulivopata malezi utotoni
Asante mkuuAaaah kmbe tunaweza farijiana polee pia
Una mawazo ya kutaka kujiua?[emoji3][emoji3]Me ni wakiume