Naomba kujua mshahara wa TGS D Ni sh.ngapi kwa mchumi daraja la II

hiyo Ofisi ya Mkaguzi mkuu wa hesabu za Serikali (NAOT) acha kabisa watu wanakula per diem hadi wanakimbia.hao safari nyingi sana. huyo kwa mwezi kukunja mil 4 kitu kidogo sana. pamoja wanalipa na TGS.
Hawa ma Auditor ni noma sana.
Auditor wetu hapa ofcn alienda Mbeya kufanya Auditing..... Kakaa miezi mitatu.
Yani anaakula Night za kutosha na wale jamaa wakampa Takrima ili mahesabu/Madudu yao ayaweke vizur.
Jamaa karekebisha karud hapa tunapga wote mzigo.
Mwaka wa fedha Mpya ukifika anaseoa tena safar anaenda ...... Kukagua.
 
hiyo Ofisi ya Mkaguzi mkuu wa hesabu za Serikali (NAOT) acha kabisa watu wanakula per diem hadi wanakimbia.hao safari nyingi sana. huyo kwa mwezi kukunja mil 4 kitu kidogo sana. pamoja wanalipa na TGS.
Ila kuna jamaa kaacha kazi huko,kaenda kuwa Lecturer IFM.huwa anasema eti kumejaa njaa sana
 
Umemaliza Mkuu
 
Ila kuna jamaa kaacha kazi huko,kaenda kuwa Lecturer IFM.huwa anasema eti kumejaa njaa sana
huyu atakuwa aina ya watu wabishi wale ambao walikuwa hawaelewana na incharge wao. so ikitokea safari hapewi kumkomoa . hivyo kaona asepe tu. pale mzee napajua . dereva tu anamkimbiza daktari wa halmashauri parefu sana.
 
Well, Basic salary ni kabla ya makato mfano kodi (PAYE), NHIF, PSSSF, HESLB n.k. Ambapo take home ni ile amount anayopata mtu baada ya hayo makato. Kimsingi, Gross na Basic vina maana sawa.
Nijuavyo
Basic salary ni ujira wako kabla hawajaweka other benefits mfano wa pesa za mawasiliano, kodi ya nyumba, usafiri, bill ya umeme n.k
Gross ni ujira wako(basic salay) jumlisha other benefits + overtime
Take home ni ujira unaopata baada ya statutory deduction kama kodi, nssf, loan n.k
 
Ahsante kwa ufafanuzi mkuu. Nimejifunza jambo pia.
 
Umemaliz kila kitu hapa
Hata serikali au utumishi napo kuna madaraja na ndio maana hata mishahara yao ikawekwa kimadaraja
Wao huwa wanafikiri kuwa wakisikia mtu analipwa 600000 huko utumishi, basi huo ndio mwisho wake :-
Wanasahau
Security environment
Ensurement kazini
Hizi posho posho hizi
Ndio zinawapa sana kuishi kitaaani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila kuna jamaa kaacha kazi huko,kaenda kuwa Lecturer IFM.huwa anasema eti kumejaa njaa sana
Mwache akatoe products ambazo zitaenda kupiga kazi aliyoikataa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…