Naomba kujua mshahara wa TGS D Ni sh.ngapi kwa mchumi daraja la II

Naomba kujua mshahara wa TGS D Ni sh.ngapi kwa mchumi daraja la II

Umemaliz kila kitu hapa
Hata serikali au utumishi napo kuna madaraja na ndio maana hata mishahara yao ikawekwa kimadaraja
Wao huwa wanafikiri kuwa wakisikia mtu analipwa 600000 huko utumishi, basi huo ndio mwisho wake :-
Wanasahau
Security environment
Ensurement kazini
Hizi posho posho hizi
Ndio zinawapa sana kuishi kitaaani



Sent using Jamii Forums mobile app
Mama kaongeza mwaka jana
 
Hawa ma Auditor ni noma sana.
Auditor wetu hapa ofcn alienda Mbeya kufanya Auditing..... Kakaa miezi mitatu.
Yani anaakula Night za kutosha na wale jamaa wakampa Takrima ili mahesabu/Madudu yao ayaweke vizur.
Jamaa karekebisha karud hapa tunapga wote mzigo.
Mwaka wa fedha Mpya ukifika anaseoa tena safar anaenda ...... Kukagua.
Kama hautojari nisaidie details kidogo... Education Officer wa NAOT ana deal na kazi zipi, na vipi upande wa maslahi (posho) yakoje?
 
Sasa kinachowakimbiza watu kwenda government ni nini kama hizi ndizo salary zao?
Serikalini kuna posho na hela za safari pia, so kutegemeana na taasisi iliyopo kuna pahala Posho inauzidi mshahara

Cha msingi ni kujituma na kuchapa kazi kweli kweli
 
Kama hautojari nisaidie details kidogo... Education Officer wa NAOT ana deal na kazi zipi, na vipi upande wa maslahi (posho) yakoje?
Ni mkaguzi pia kama wakaguzi wengine huyu anahusika zaidi kwenye ukaguzi hasa zaidi kwenye sector ya elimu mitaala nk ili kuweza kuishaur serikali kwenye angle hyo!
 
Well, Basic salary ni kabla ya makato mfano kodi (PAYE), NHIF, PSSSF, HESLB n.k. Ambapo take home ni ile amount anayopata mtu baada ya hayo makato. Kimsingi, Gross na Basic vina maana sawa.
Nafikri sasa hivi akiulizwa maana ya basic na gross salary utakuwa ulishaelewa! 2022 watu uliwalisha matango pori!
 
Back
Top Bottom