Naomba kujua mshahara wa TGS D Ni sh.ngapi kwa mchumi daraja la II

Lakin si walikuwa mwenge...may be mtoa mada alikuwepo dar kitambo kabla hazijahamishwa...

Acha kukaza ubongo na kutafuta negativity ....have tolerance
Mimi mwenyewe nilikimbia Jiji 2011 ofisi zilikuwa Mwenge.
 
Reactions: apk
Watu wanavimaneno sijui namheshimu mfa nyabiasha sijui nini...Sasa sio kila mtu anawesa kufanya biashara ilo mosi mbili, ukiambiwa unaanza na mshahara wa laki7 iyo sio life sentence, kuna posho nyingi tu utazipata kazini na stahiki kibao...na mishahara inapanda kadiri unavyotumikia...wapo wanaolipwa hadi 1.5M kwa cheo hicho na zaidi

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Reactions: apk
Hizo posho sio kwa tamisemi
 
Alafu pia kua mtumishi wa serikali Kuna advantage kubwa coz ukiwa mgonjwa Bado utalipwa mshahara hata usipo attend mwezi mzima.ila kwa mfanya biashara mtaji ni nguvu pia ukiugua biashara inalala
 
Reactions: apk
Alafu pia kua mtumishi wa serikali Kuna advantage kubwa coz ukiwa mgonjwa Bado utalipwa mshahara hata usipo attend mwezi mzima.ila kwa mfanya biashara mtaji ni nguvu pia ukiugua biashara inalala

Ni kweli kaka hata Majizo akiugua biashara inalala. Nadhani hata Bakhresa pia anapitia hii changamoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…