Naomba kujua mshahara wa TGS D Ni sh.ngapi kwa mchumi daraja la II

Mama kaongeza mwaka jana
 
Kama hautojari nisaidie details kidogo... Education Officer wa NAOT ana deal na kazi zipi, na vipi upande wa maslahi (posho) yakoje?
 
Sasa kinachowakimbiza watu kwenda government ni nini kama hizi ndizo salary zao?
Serikalini kuna posho na hela za safari pia, so kutegemeana na taasisi iliyopo kuna pahala Posho inauzidi mshahara

Cha msingi ni kujituma na kuchapa kazi kweli kweli
 
Kama hautojari nisaidie details kidogo... Education Officer wa NAOT ana deal na kazi zipi, na vipi upande wa maslahi (posho) yakoje?
Ni mkaguzi pia kama wakaguzi wengine huyu anahusika zaidi kwenye ukaguzi hasa zaidi kwenye sector ya elimu mitaala nk ili kuweza kuishaur serikali kwenye angle hyo!
 
Well, Basic salary ni kabla ya makato mfano kodi (PAYE), NHIF, PSSSF, HESLB n.k. Ambapo take home ni ile amount anayopata mtu baada ya hayo makato. Kimsingi, Gross na Basic vina maana sawa.
Nafikri sasa hivi akiulizwa maana ya basic na gross salary utakuwa ulishaelewa! 2022 watu uliwalisha matango pori!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…