Naomba kujua namna ya kuendesha biashara ya pweza

Leviz

Member
Joined
Feb 18, 2024
Posts
61
Reaction score
85
Samahani ndugu zangu wa JF nilikua naomba kujua namna ya kuendesha biashara ya pweza kwenye zile meza ipoje?(Nipo Dar es salaam naishi mpakani).....
1.pweza wananunuliwaje
2.meza sh ngapi
3.nikimueka mtu namlipa sh ngapi
4.changamoto zake
5.mnishauri na vitu vya kuongezea na maeneo sahihi
 
Habari! Naona unataka kuanzisha biashara ya pweza, jambo zuri sana. Hapa kuna baadhi ya maelezo ambayo yanaweza kukusaidia:

Pweza wananunuliwaje:

Pweza wanapatikana kwa wingi kwenye masoko ya samaki kama vile Ferry, Kivukoni, na maeneo mengine ya pwani. Unaweza kununua moja kwa moja kutoka kwa wavuvi au wauzaji wa jumla.

Meza sh ngapi:

Bei ya meza inaweza kutofautiana kulingana na ubora na ukubwa. Kwa kawaida, meza nzuri ya biashara ya pweza inaweza kugharimu kati ya TZS 50,000 hadi 150,000.
Nikamueka mtu namlipa sh ngapi:
Malipo ya mfanyakazi yanaweza kutegemea eneo na majukumu. Kwa biashara ndogo, unaweza kuanza kwa kumlipa mfanyakazi kati ya TZS 10,000 hadi 20,000 kwa siku.

Changamoto zake:

Changamoto kuu ni pamoja na upatikanaji wa pweza wa kutosha, uhifadhi bora ili wasiharibike, na ushindani kutoka kwa wauzaji wengine. Pia, ni muhimu kuhakikisha usafi na ubora wa bidhaa zako ili kuvutia wateja.

Ushauri na vitu vya kuongezea na maeneo sahihi:

Ni muhimu kufanya utafiti wa soko ili kujua maeneo yenye wateja wengi kama vile maeneo ya kibiashara na karibu na vyuo vikuu. Pia, unaweza kuongeza thamani kwa kutoa huduma za ziada kama vile kuandaa pweza kwa njia tofauti (kama kukaanga au kuchoma) na kutoa vinywaji baridi.

Natumaini haya yatakusaidia
 
Njoo mbagala mm nikupeleke kwa jamaa ninayekulaga chuzi. Atatupa info zote
 
Umemaliza na kuifunga thread vizuri..!!
 
Acha Masiala aisee Yaani Mtu anayeuza Pweza kwenye meza Ndo Umlipe Laki sita kwa Mwezi 🤣🤣

Yaani 600k Per months au 20k per day Mmmmmh hata serkali hailipi Hivyo 🤣🤣🤣
 
Hio Heading ina mahusiano vipi na content iliyopo ? Yaani Acha Dharau na Biashara ya Pweza ?

Naona wewe ndio unaleta Masihara, Hakikisha content inaelezea kilichomo ndani zaidi ya hapo ni kupotezea watu muda..., Huenda kuna gwiji la Biashara hii bali alivyoona heading akapita pembeni (thus wewe ndio unapoteza)
 
Kuajiri mfanyakazi hapo ndipo unakuwa mtihani,Mfanyakazi akiwa anadokoa kuanzia asubuhi mpaka jioni kutakuwa na faida kweli?
 
Samahani ndugu zangu wa JF nilikua naomba kujua namna ya kuendesha biashara ya pweza kwenye zile meza ipoje?(Nipo Dar es salaam naishi mpakani).....
1.pweza wananunuliwaje
2.meza sh ngapi
3.nikimueka mtu namlipa sh ngapi
4.changamoto zake
5.mnishauri na vitu vya kuongezea na maeneo sahihi
Heading ilipaswa kuwa NAOMBA KUFAHAMISHWA KUHUSU BIASHARA YA PWEZA KWA WENYE UELEWA
 
DR Mambo Jambo said:
Acha Masiala aisee Yaani Mtu anayeuza Pweza kwenye meza Ndo Umlipe Laki sita kwa Mwezi
Hajaandika yeye, hayo ni maelezo ya ChatGPT na ni jambo jema kuyaleta hapa ila amekosea kuyaleta kama yalivyo angejaribu hata kuandika kwa uhalisia kwa baadhi ya vipengele!
 
Acha Masiala aisee Yaani Mtu anayeuza Pweza kwenye meza Ndo Umlipe Laki sita kwa Mwezi 🤣🤣

Yaani 600k Per months au 20k per day Mmmmmh hata serkali hailipi Hivyo 🤣🤣🤣
Mwenyewe nimeshangaa🤣🤣
Hii dunia siyo fair
 
Samahani ndugu zangu wa JF nilikua naomba kujua namna ya kuendesha biashara ya pweza kwenye zile meza ipoje?(Nipo Dar es salaam naishi mpakani).....
1.pweza wananunuliwaje
2.meza sh ngapi
3.nikimueka mtu namlipa sh ngapi
4.changamoto zake
5.mnishauri na vitu vya kuongezea na maeneo sahihi
Ongeza na hii kitu wanaita Alkasusu
 
Habari! Naona unataka kuanzisha biashara ya pweza, jambo zuri sana. Hapa kuna baadhi ya maelezo ambayo yanaweza kukusaidia:

Pweza wananunuliwaje:

Pweza wanapatikana kwa wingi kwenye masoko ya samaki kama vile Ferry, Kivukoni, na maeneo mengine ya pwani. Unaweza kununua moja kwa moja kutoka kwa wavuvi au wauzaji wa jumla.

Meza sh ngapi:

Bei ya meza inaweza kutofautiana kulingana na ubora na ukubwa. Kwa kawaida, meza nzuri ya biashara ya pweza inaweza kugharimu kati ya TZS 50,000 hadi 150,000.
Nikamueka mtu namlipa sh ngapi:
Malipo ya mfanyakazi yanaweza kutegemea eneo na majukumu. Kwa biashara ndogo, unaweza kuanza kwa kumlipa mfanyakazi kati ya TZS 10,000 hadi 20,000 kwa siku.

Changamoto zake:

Changamoto kuu ni pamoja na upatikanaji wa pweza wa kutosha, uhifadhi bora ili wasiharibike, na ushindani kutoka kwa wauzaji wengine. Pia, ni muhimu kuhakikisha usafi na ubora wa bidhaa zako ili kuvutia wateja.

Ushauri na vitu vya kuongezea na maeneo sahihi:

Ni muhimu kufanya utafiti wa soko ili kujua maeneo yenye wateja wengi kama vile maeneo ya kibiashara na karibu na vyuo vikuu. Pia, unaweza kuongeza thamani kwa kutoa huduma za ziada kama vile kuandaa pweza kwa njia tofauti (kama kukaanga au kuchoma) na kutoa vinywaji baridi.

Natumaini haya yatakusaidia
mkuu ,unapatikana wapi
 
Back
Top Bottom