Naomba kujua namna ya kuendesha biashara ya pweza

Naomba kujua namna ya kuendesha biashara ya pweza

Acha Masiala aisee Yaani Mtu anayeuza Pweza kwenye meza Ndo Umlipe Laki sita kwa Mwezi [emoji1787][emoji1787]

Yaani 600k Per months au 20k per day Mmmmmh hata serkali hailipi Hivyo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kazi Ina Hela hiyo boss
 
Samahani ndugu zangu wa JF nilikua naomba kujua namna ya kuendesha biashara ya pweza kwenye zile meza ipoje?(Nipo Dar es salaam naishi mpakani).....
1.pweza wananunuliwaje
2.meza sh ngapi
3.nikimueka mtu namlipa sh ngapi
4.changamoto zake
5.mnishauri na vitu vya kuongezea na maeneo sahihi
Kwanini uweke mtu usikae mwenyewe
 
Back
Top Bottom