- Thread starter
- #21
Mpakani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpakani
kesho ujehapa kawe Shelly hapa ... kimeza kidogo Cha kwangu ufike tuyajenge
Sante sanaUmemaliza na kuifunga thread vizuri..!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kazi Ina Hela hiyo bossAcha Masiala aisee Yaani Mtu anayeuza Pweza kwenye meza Ndo Umlipe Laki sita kwa Mwezi [emoji1787][emoji1787]
Yaani 600k Per months au 20k per day Mmmmmh hata serkali hailipi Hivyo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umeona mkuu kweli kabisa mbona pweza inalipaDunia hii wanyonyaji wapo wengi sana
Pmmkuu ,unapatikana wapi
Kwanini uweke mtu usikae mwenyeweSamahani ndugu zangu wa JF nilikua naomba kujua namna ya kuendesha biashara ya pweza kwenye zile meza ipoje?(Nipo Dar es salaam naishi mpakani).....
1.pweza wananunuliwaje
2.meza sh ngapi
3.nikimueka mtu namlipa sh ngapi
4.changamoto zake
5.mnishauri na vitu vya kuongezea na maeneo sahihi
Bonge la Ushauri uliompa. Kazi Kwake.Tafuta muuza pweza mmoja, nenda nunua hata kachori mbili, ongea nae kirafiki na muulize kuhusu biashara hiyo.