Naomba kujua namna ya kuhamia kufundisha vyuo vikuu, kutoka kuwa mwalimu wa sekondari

Uko sahihi kabisa , ila hapo namba 4 kwenye kupitishiwa na muajiri wako wa sasa ndo kwenye kimbembe, wengi hukwamishwa hapo
 
Mkuu vipi ulifanikiwa???
Kuna jirani yangu pia anataka hamia huko,!!
 
Naomba kuuliza ukifanya usahili vyuo vikuu alafu ni mwajiriwa WA halmashauri X barua ya uhamisho inapitia kwa mwajira wangu au?
 
hatuwataki nyie ndo mnakuja kutusumbua marks mnatukazia bila sababu na mademu mnawala.

hadi sahivi sijalala kisa vi lecturer uchwara pumbavu kabisa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hiyo ni undergraduate na masters ni 4.4
Khaaa, mtu una GPA tamu hivyo halafu unasotea mshahara wa TGS!!! Ebu ingia ajira portal jisajili huko ukapambane kwenye usahili nafasi zikitoka. Hilo nalo ni lakuelekezwa!! Tena kwa assistant lecturer competition huwa siyo kubwa kama tutorial assistant plus una experience in pedagogical field.
 
Ishu ni kupitishiwa barua
 
Mkuu vizuri umefafanua vyema sana, eti kama unataka kutuma barua kwa katibu mkuu utumishi ni vitu gani muhimu ambavyo unatakiwa uviambatanishe
 
hIvi kuna uwezekano taasisi unayoomba nafasi ikakuombea kibali utumishi cha uhamisho?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…