Marwa_J_Merengo
JF-Expert Member
- Aug 6, 2018
- 4,512
- 6,882
Kwa nini usitoe order wakuagizie hao Tanganyika arms
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawawezi kuwa navyo vitu standard,mie mwenyewe nilitafuta SIG sauyer sikupata,nimeamua kutembea na kisu tuNataka Jericho 941 hapa hawana
kwanini usitembee ni kiwembe tu.Hawawezi kuwa navyo vitu standard,mie mwenyewe nilitafuta SIG sauyer sikupata,nimeamua kutembea na kisu tu
Kiwembe kinafaa kwa close quarter physical combart pekee,wakati kisu waweza kukirusha kwa aduikwanini usitembee ni kiwembe tu.
Hii ndo njia nzuri na ya uhakika isiyo na ugomvi kwa jamhuri. Cha msingi ahakikishe anapewa kibali cha umiliki baas.Kwa nini usitoe order wakuagizie hao Tanganyika arms
Kiwembe kinafaa kwa close quarter physical combart pekee,wakati kisu waweza kukirusha kwa adui
Anza kwanza kuomba kibali cha kumiliki silaha ukishapata NDIO ununue .Ikishafika nchini unapofanya clearance waonyeshe kibali unaondoka na silaha yako.
Taratibu nenda ofisi ya POLISI WILAYA AU MKOA WATAKUPA MAELEKEZO
Mkuu ukute hata Glock hawana. Wanauza zile za viwango duni.Hawawezi kuwa navyo vitu standard,mie mwenyewe nilitafuta SIG sauyer sikupata,nimeamua kutembea na kisu tu
Mimi mambo ya bastola ndo sitaki maana ntaua wengi bila kukusudiaHabari wanajamvini
Nimepita Tanganyika Arms kwa lengo la kujua utaratibu wa kuingiza silaha (bastola) kwa ajili ya matumizi binafsi lakini sikufanikiwa kupata majibu. Naomba muongozo kwa anayefahamu utaratibu wa kuingiza kifaa hiki.
watu mnamikwala humu ndaniHawawezi kuwa navyo vitu standard,mie mwenyewe nilitafuta SIG sauyer sikupata,nimeamua kutembea na kisu tu
jopss,
Shukrani sana mtaalam kwa majibu yako maridhawa. Ntashukuru kama nitaweza kupata mawasiliano ya mawakala wanaotambulika.