Mgiriki MTz
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 330
- 270
Hakuna la moja kwa moja?Unapanda ya Mbeya- Mwanza, unashuka Nzega utayapata ya Kygo mengi sana
MBEYA to SUMBAWANGA 15000/-(Lazima ulale Sumbawanga)
SUMBAWANGA to KIGOMA 35000/-
Mkuu waha wameshawahi kukuharibia utulivu nini?Mwambie akipanda na Waha wengi humo na kutokana na Mikelele yao ya Ubishani Nauli itaongezeka kwa kupewa Pamba za Kukinga Makelele.
ShukraniSecond option
MBEYA to TABORA 20000, then TABORA to KIGOMA 20000/- kwa kuunganisha na basi inayotoka DAR to KIGOMA.
Mkuu waha wameshawahi kukuharibia utulivu nini?
Vip nikipitia ya tabora kigoma nafika saa ngapi?Hakuna basi la moja kwa moja, ili ufike Kigoma una machaguo ya kupita Rukwa au Tabora.
Njia ya Rukwa itakubidi upande basi la Mbeya kwenda Mpanda utafika jioni, utalala kesho Asubuhi utapanda basi ya Mpanda-Kigoma napo utafika mchana.
Ukipita njia ya Tabora-Mbeya itabidi kesho yake utafute gari ya Tabora-Kigoma.
Huo ni utata sasa tukupangie na muda...[emoji28][emoji28]Vip nikipitia ya tabora kigoma nafika saa ngapi?
Ukitoka Tabora Asubuhi Lazima Kigoma Saa TisaVip nikipitia ya tabora kigoma nafika saa ngapi?
Yemwa!!! NakutashaMkuje basi wadau!