Panda gari ulale Mpanda halafu unachukua Mpanda Kigoma nauli 20k,hata ukilala Tabora napo siyo mbaya nauli tofauti kama 5k tuu.Ukitoka Tabora au Mpanda Kigoma utaingia by saa sita/saba ukichelewa saa nane.Bulombora ni karibu na Kigoma Mjini hivyo kwa huo muda unawahi magari yanayoenda huko.Au kama utahitaji usifike Mjini utashukia Njia panda ya Ilagala ndiyo uelekee JKT BULOMBORA.Karibu sana tumewapatia Michikichi ya kuotesha Huko Miche ipo ya kutosha na maji yapo karibu ziwani Jiandae kwa hilo la Umwagiliaji.