Pale Tabora inategemea umefika muda gani,Gari za kutoka Dar/Dom_Kigoma ukiziwahi by saa mbili usiku utapanda mnaweza kulala kaliua au urambo.Halafu kesho yake by saa nne utakuwa Kigoma Town.Vip nikipitia ya tabora kigoma nafika saa ngapi?
Namshauri Atoke Mbeya Hadi Dodoma AlalePale Tabora inategemea umefika muda gani,Gari za kutoka Dar/Dom_Kigoma ukiziwahi by saa mbili usiku utapanda mnaweza kulala kaliua au urambo.Halafu kesho yake by saa nne utakuwa Kigoma Town.
Basi kama ni hivyo akalale Mpanda pale safari siyo ndefu sana kama akilala Dodoma,,,,Mpanda _Kigoma masaa sita akizidi saba yupo UjijiNamshauri Atoke Mbeya Hadi Dodoma Alale
Asubuhi Anapanda AN Jioni Anafika Kigoma
Ila Lazima Awe Mvumilivu Ni Safaris Ndefu Sana
Yote SahihiBasi kama ni hivyo akalale Mpanda pale safari siyo ndefu sana kama akilala Dodoma,,,,Mpanda _Kigoma masaa sita akizidi saba yupo Ujiji
Hii itakuwa ngumu nikifika jioni maana naenda bulomboraNamshauri Atoke Mbeya Hadi Dodoma Alale
Asubuhi Anapanda AN Jioni Anafika Kigoma
Ila Lazima Awe Mvumilivu Ni Safaris Ndefu Sana
MkUu tabora-kigoma nauli sh. ngapi?Pale Tabora inategemea umefika muda gani,Gari za kutoka Dar/Dom_Kigoma ukiziwahi by saa mbili usiku utapanda mnaweza kulala kaliua au urambo.Halafu kesho yake by saa nne utakuwa Kigoma Town.
Sawa mkuu.Njia fupi panda mbeya tabora then utalala tabora kesho yake utaanza safari kigoma magari ya kigoma tabora ni mengi mno ila ukipita ya mpanda ni ndefu sana na pia nauli ni kubwa sana na ya Dodoma ni hivyo hivyo nauli ni kubwa ila ya mbeya maximum had I kigoma isipungue 60000
Hii itakuwa ngumu nikifika jioni maana naenda bulombora
Asante kwa ufafanuzi.Panda gari ulale Mpanda halafu unachukua Mpanda Kigoma nauli 20k,hata ukilala Tabora napo siyo mbaya nauli tofauti kama 5k tuu.Ukitoka Tabora au Mpanda Kigoma utaingia by saa sita/saba ukichelewa saa nane.Bulombora ni karibu na Kigoma Mjini hivyo kwa huo muda unawahi magari yanayoenda huko.Au kama utahitaji usifike Mjini utashukia Njia panda ya Ilagala ndiyo uelekee JKT BULOMBORA.Karibu sana tumewapatia Michikichi ya kuotesha Huko Miche ipo ya kutosha na maji yapo karibu ziwani Jiandae kwa hilo la Umwagiliaji.