Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unanunua zile air refreshner za kuweka chini ya kochi au ukutaniinteresting...
wait mkuu nikipata pia kuna vidonge vya kuweka chini ya karpet ila ni kama zile za kwenye gari tu unaweka chini chini huko mvunguni zinaleta hewa nzuri tu ndani ila ufungue madirishaweka picha
unajua kutumia fursaNyani Ngabu,, natafuta kazi ya udereva kokote naomba unisaidie please lessen yangu ni class E elimu kidato cha 4 [emoji120]
interesting...
Hv kuna mti unaitwa muasumini au ni maua hayo..?kuna mti flani hvi jirani na chumbani basi usiku unatoa harufu nzuri sana...una maua ya njano hivi..siujui jinaMaua kama muasumini,mkilua then ndan baada ya kusafisha unapulizia udi au unawasha candles zile zenye harufu
Bila shaka wewe ni mhaya, mbwembwe nyiingi kumbe ni mbeba box.Mimi kwangu huwa natumia air fresheners za kuchomeka kwenye soketi za umeme na ambazo ninaweza kudhibiti kiasi cha marashi yatokayo.
Baadaye nitaweka picha hapa muone nachozungumzia.
Jingine ni kutumia scented candles. Napendelea zaidi brand ya Yankee Candle.
Na huwa sipendi kupika vyakula vyenye shombo kali kama vile kukaanga samaki na kadhalika.
Nikikaanga samaki huwa nakaangia nje kwenye deck.
Halafu huwa napendelea zaidi marashi ya fresh na citrus.
Usafi wa nyumba nao husaidia pia. Hakikisha nyumba yako ni safi na yenye kuingiza na kutoa hewa vizuri.
Si unajua tena tunatofautiana kwenye mambo ya mnuso? Unaweza kuinusa kitu ukaona inanukia vizuri lkn ikawa kichefuchefu kwa mwenzako. Lakini maza alikuwa anapenda sana kampuni ya AIR WICK.
Zinanukia vizuri sana na zipo za aina tofauti.
Bei gani mkuuView attachment 426414 hii kitu ni hatari siijui hata jina ila nilinunuaga kwenye maduka ya waarabu k.koo! unaiwekea tu setting kila baada ya muda fulan inapiga kama chafya fulani hivii..hiyo harufu yake hapo ndan usipime..ni nzur haswaa...[emoji39]
Uje nikakununulie[emoji6] [emoji126]