location pleaseView attachment 426414 hii kitu ni hatari siijui hata jina ila nilinunuaga kwenye maduka ya waarabu k.koo! unaiwekea tu setting kila baada ya muda fulan inapiga kama chafya fulani hivii..hiyo harufu yake hapo ndan usipime..ni nzur haswaa...[emoji39]
Uje nikakununulie[emoji6] [emoji126]
Ukipata mke mchafu sijui utamuacha? kwa usafi huo hatareeee.Mimi kwangu huwa natumia air fresheners za kuchomeka kwenye soketi za umeme na ambazo ninaweza kudhibiti kiasi cha marashi yatokayo.
Baadaye nitaweka picha hapa muone nachozungumzia.
Jingine ni kutumia scented candles. Napendelea zaidi brand ya Yankee Candle.
Na huwa sipendi kupika vyakula vyenye shombo kali kama vile kukaanga samaki na kadhalika.
Nikikaanga samaki huwa nakaangia nje kwenye deck.
Halafu huwa napendelea zaidi marashi ya fresh na citrus.
Usafi wa nyumba nao husaidia pia. Hakikisha nyumba yako ni safi na yenye kuingiza na kutoa hewa vizuri.
Na hao ndo kosa ungemsifia muhusika na ukamuuliza sidhani kama kuna ubaya kuuliza jambo katika kujifunza au kuiga.. ILA Kuna Aifrenshner kama walivyozungumzia walopita za kuspray kawaida na za ukutani, na candles kama aliwasha candles inawezekana zimechania..Japo wengine wamezoea Udi (Oud)...Acha kabisa......nilitamani 'kuomba urafiki'
hahaa
nilifika hiyo nyumba for business only....ila ilivyokuwa inanukia nilitamani kujua zaidi kuhusu hilo
Ukipata mke mchafu sijui utamuacha? kwa usafi huo hatareeee.
Unafikiri tabia mbaya zinaanza kwenye uchumba? subiri ameolewa amezaa utakuta nguo chafu uvunguni .Wengi huwa hawaamini wake au watu wao wa karibu wamebadilika.Usafi ni mzuri ila ukizidi kila anakuyepitia unamuona mchafu ht mzazi wako utafika wakati utamuona kinyaa.Kwa jinsi nilivyo, kupata mke mchafu ni muhali!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Natumai ulitamani uendelee kuwepo eneo hilo muda mrefu.
40elfu inakaa miez miwili spray yake..ikiisha unaifungua alafu unabadili nyingine..Bei gani mkuu
Bei yake?View attachment 426414 hii kitu ni hatari siijui hata jina ila nilinunuaga kwenye maduka ya waarabu k.koo! unaiwekea tu setting kila baada ya muda fulan inapiga kama chafya fulani hivii..hiyo harufu yake hapo ndan usipime..ni nzur haswaa...[emoji39]
Uje nikakununulie[emoji6] [emoji126]
Hahahahahaaaaa ww jamaa.Nyani Ngabu,, natafuta kazi ya udereva kokote naomba unisaidie please lessen yangu ni class E elimu kidato cha 4 [emoji120]
elfu 40Bei yake?
tena ukutane cha kukausha juani kama mavi vileUkifika Ukerewe utashangaa na roho yako,unakijua kibambala?kikipikwa hcho kinanukia shombo humo ndani wiki tisa[emoji16]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]nyumbani kwa jini hapo usirudi tena mkuu
Wewe ili patulie hakikisha ukirudi jioni viatu vyako utoe nje na soksi pia [emoji16][emoji16][emoji16]Ngoja nipate maujanja hapa maana nna ugeni karibuni
Nikumbuke namie basiUkiacha air fresheners za socket pia scented candles, natumia dried flowers zenye harufu nzuri..Unaweka kwenye chombo kimapambo kama picha hapo chini.
View attachment 429761 View attachment 429762