tajiri tumbo kubwa
JF-Expert Member
- May 27, 2021
- 429
- 567
ndio mkuu lakini wewe unaifahamu kazi ya rc? mtu anaongoza mkoa mzima, je usamusikiliza chalamila akiongea, huyu hata mweyekiti wa nyumba kumi hasitahili kupewa, its not an issue ya kuwa mubaya, issue ni perfomance sir or ability to perform, chalamila cant do muchRC wa mbeya hakuwa na unyanyasaji kama wa Sabaya
Makao makuu takukuru wanazo mahabusu pia huwaweka salendar pale wengine asubuhi wanakufuata.....jioni unarudiWakati tunaambiwa Sabaya anashikiliwa na TAKUKURU kwa mahijiano, binafsi ningependa kujua anashikiliwa katika mahabusu gani ?
Pili,napenda kuuliza kama sheria inaruhusu TAKUKURU kukamata watuhumiwa na pia kama sheria inawaruhusu kuwaweka ndani mahabusu.
Mwisho, hivi kuna vyombo vingine vya habari vinavyoripoti habari za Sabaya zaidi ya gazeti
la Rai Mwema?
Nina mashaka sana na mwenendo mzima wa hiki tunachoambiwa au kukisoma kuhusu Bwana Sabaya.
Kisheria inaruhusiwa mbakaji kuwekwa Takukuru ?Urambo st
Naona kama kuna kusigana kidogo ndani ya viongozi wa chama kile. Yuko mhanga wa Sabaya ambaye anaona chama chke hakitashiriki uchaguzi 2025 kulingana na nguvu ya mfumo inayokwamisha utendaji huru wa tume ya uchaguzi (hoja ya nguvu), na yule bwana mwenye ushawishi na mtia nia na aliyejiandaa kugombea 2025!!Wakati tunaambiwa Sabaya anashikiliwa na TAKUKURU kwa mahijiano, binafsi ningependa kujua anashikiliwa katika mahabusu gani ?
Pili,napenda kuuliza kama sheria inaruhusu TAKUKURU kukamata watuhumiwa na pia kama sheria inawaruhusu kuwaweka ndani mahabusu.
Mwisho, hivi kuna vyombo vingine vya habari vinavyoripoti habari za Sabaya zaidi ya gazeti
la Rai Mwema?
Nina mashaka sana na mwenendo mzima wa hiki tunachoambiwa au kukisoma kuhusu Bwana Sabaya.
Hakika.Mkuu kwa hiyo una wasiwasi raia mwema wanatulisha matango pori? Halafu wakaachwa?
Nilidhani utaulizia atazikwa Kaburi gani.Wakati tunaambiwa Sabaya anashikiliwa na TAKUKURU kwa mahijiano, binafsi ningependa kujua anashikiliwa katika mahabusu gani ?
Pili,napenda kuuliza kama sheria inaruhusu TAKUKURU kukamata watuhumiwa na pia kama sheria inawaruhusu kuwaweka ndani mahabusu.
Mwisho, hivi kuna vyombo vingine vya habari vinavyoripoti habari za Sabaya zaidi ya gazeti
la Rai Mwema?
Nina mashaka sana na mwenendo mzima wa hiki tunachoambiwa au kukisoma kuhusu Bwana Sabaya.
Alete ushahidi kuhalalisha ujambazi wake.Mimi angenipora angezitemaNaanza kuziona dalili za kuja kuambiwa Sabaya "amejinyonga" akiwa ndani ya cell.
Hii ni baada ya wakubwa kuona kuna kuaibika mbele ya safari kama Sabaya atakomaa kuwa alikuwa anatumwa na mwendazake na viongozi wengine wa chama ambao bado wako ndani ya utawala huu.
Nani atakubali hayo yasemwe hadharani?
Kutumwa na mtu ukafanye ujambazi sio tiketi ya kukuokoa au kukulinda dhidi ya uhalifuWakati tunaambiwa Sabaya anashikiliwa na TAKUKURU kwa mahijiano, binafsi ningependa kujua anashikiliwa katika mahabusu gani ?
Pili,napenda kuuliza kama sheria inaruhusu TAKUKURU kukamata watuhumiwa na pia kama sheria inawaruhusu kuwaweka ndani mahabusu.
Mwisho, hivi kuna vyombo vingine vya habari vinavyoripoti habari za Sabaya zaidi ya gazeti
la Rai Mwema?
Nina mashaka sana na mwenendo mzima wa hiki tunachoambiwa au kukisoma kuhusu Bwana Sabaya.
Mramba na DanielToka lini wwe ukasikia kuna Kiongozi aliye wai kafungwa hapa Tanzania!?
Lema alimuonya akabaki kumwambia lema we unatumia nini yeye akifanya uporaji.Sabaya alitenda mabaya ya kishetani akizani mtukufu magufuli angekuwa Rais wa milele kama China lakini sasa ameumbuka anajuuta kutekeleza udikiteta wa marehemu magufuli
Alikuwa anamtuma abake wanawake?Naanza kuziona dalili za kuja kuambiwa Sabaya "amejinyonga" akiwa ndani ya cell.
Hii ni baada ya wakubwa kuona kuna kuaibika mbele ya safari kama Sabaya atakomaa kuwa alikuwa anatumwa na mwendazake na viongozi wengine wa chama ambao bado wako ndani ya utawala huu.
Nani atakubali hayo yasemwe hadharani?
Hii inakuaje mkuu, msaada tafadhali
Kuna chombo kingine kinachotoa taarifa za kukamatwa kwa Sabaya na tuhuma nyingine zinazomuhusu , tofauti na Raia mwema?Rest house.
P
CCM siwaamini inawezekana mnatuzuga tu na huyo Sabaya huenda hayuko katika mahabisu yoyote.Nilidhani utaulizia atazikwa Kaburi gani.
Inawezekana Sabaya yuko nyumbani kwake na wala si mahabusu.HAO takukuru hawana mahabusu yoyote zaidi ya vyumba Tu.
Yote haya yanawezekana na hii issue inaweza kwisha kimyakimya.Naanza kuziona dalili za kuja kuambiwa Sabaya "amejinyonga" akiwa ndani ya cell.