uchumi2018
JF-Expert Member
- Mar 4, 2018
- 1,657
- 2,406
Ndugu siyo TAKUKURU peke yao ,hata wewe unaruhusiwa kumkamata mharifu na kumfikisha kwenye vyombo vya dola(polisi).Kikubwa ni kuzingatia sheria za ukamataji.sheria inaruhusu TAKUKURU kukamata watuhumiwa