Naomba kujua Sabaya anashikiliwa katika mahabusu gani?

Nyie ndo mlisema anashikiliwa kisha mkafulahi
Sasa ni wajibu wenu kutuambia anashikiliwa wapi
Au mguateni aliyesema anamshikia atawapa majibu
 
Kwani suala lako ninaangukia ktk mikono ya TAKUKURU?
 
Kuna chombo kingine kinachotoa taarifa za kukamatwa kwa Sabaya na tuhuma nyingine zinazomuhusu , tofauti na Raia mwema?
Na kama hakuna ,kwanini? hebu tutaisie Bro
Raia Mwema ni ile timu ya Mtanzania ya enzi zile, wakimkamia mtu, wanakufa nae!. Ndio hawa walimsafishia njia JK kwa kumpaka matope Dr. SAS!. Sabaya kwisha habari yake!.
P
 
alitumwa kubaka? ana ushahidi gani wa kutumwa?
 
Achana nae

Sent from my G80 using JamiiForums mobile app
 
Yupo kisongo pale vip
 
Chalamila Yuko vizuri sana! Anajua kwenda na Mazingira ya kazi yake!!
 
Jana Boss mhusika akihojiwa na redio fulani alithibitisha kywa Sabaya anashikiliwa Ofisi za Upanga za taasisi hiyo pamoja na mabaonsa wake wanne walishikiwa Dar
 
Tokea lini Takukuru wakawa na mahabusu zao za kuhifadhia watuhumiwa?
 
Ni wajinga tu wanaamini kwamba Sabaya anaweza kukaa rumande siku zaidi ya moja
Kwa hiyo mr Bolizozo yule mteule wa Rais ni muongo na mzushi? Kwa maana hiyo hata mteuzi naye hivyo hivyo?
Kwa maana hiyo hata chama kilichompendekeza huyo mteuzi wa hovyo kitakuwa nacho cha hovyo na kijinga kanisa?
Asante sana kwa kuweka mambo sawa na kufanya sisi kujua kuwa chama kile ni cha kijinga maana kinafanya mambo ya kijinga huku wanachama wake na washabiki wakiunga mkono ujinga hivyo wao ndio kuwa wajinga wakubwa.
 


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo waacha atulie kwa sisi wakazi wa ARUSHA NA MOSHI tunamsifia sana Mama yetu SAMIA SULUHU HASSAN kweli Tanzania we are blessed kupata viongozi sahihi ..SABAYA ANAVUNA ALICHOPANDA KWA muda mrefu kaumiza watu sana ni muda wake kuonja sulubu sasa.....
2.TAKUKURU NI CHOMBO CHA ULINZI NA USALAMA NA WANAPOFANYA UCHUNGUZI WAO HAWAINGILIWI NI HAKI YAO KICHERIA KUMUWEKA MTU NDANI KWA UCHUNGUZI NA PIA KWA USALAMA WAKE.....
3.Kawekwa wapi kama ni ndugu yako waone wataku guide sio hapa JF
 
Kisheria inaruhusiwa mbakaji kuwekwa Takukuru ?
Lengo lao lilikuwa sio kuhoji kusu ubakaji bali walimkamata kumhoji kuhusiana na tuhuma za rushwa ambazo watu wengi walifikisha malalamiko.

Lakini katika mahojiano hayo ndio wakabaini na mengine mengi ikiwemo ubakaji, matumizi mabaya ya madaraka, pamoja na yote hayo.

Hivyo basi watu wa takukuru wakimaliza mahojiano yao ya kirushwa, watamkabidhi kwa jeshi la polisi ili wao kuendelea na uchunguzi wa tuhuma zilizotelewa dhiidi yake.
 
kulikuwa na DC mmoja anaitwa MEELA , alikuwa na roho mbaya kama sabaya, yaani katili , kiburi , sasa hivi limepotea kabisa ! naye alikuwa anadhani kwa kuwa na kiburi ndo ataonekana wa maana !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…