Naomba kujua Sabaya anashikiliwa katika mahabusu gani?

sheria inaruhusu TAKUKURU kukamata watuhumiwa
Ndugu siyo TAKUKURU peke yao ,hata wewe unaruhusiwa kumkamata mharifu na kumfikisha kwenye vyombo vya dola(polisi).Kikubwa ni kuzingatia sheria za ukamataji.
 
Mkuu unataka ujue mahabusu alipo ili uende kufanya kosa maeneo hayo ili ukamatwe uingizwe ndani ukutane naye uso kwa uso umnyongelee mbali..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Aksante kwa taarifa kaka😃.
Takukuru hutumia sero za polisi kuhifadhia watuhumiwa wao, huwahifadhi katika sero, na wanapo hitaji kuwahoji huenda kuwachukua, wakimaliza kuwahoji huwarudisha huko . Mpaka watakaporidhika wana ushahidi wa kumpeleka mahakamani ndipo hufungulia mashitaka.
 
Mwenyewe nataka kujua nikamle 0712
 

Mahabusu ya Upanga....
 
Katiba ya Tz ilivyo ni Hadi mahakama inaendeshwa na CCM maana rais ndo mwenye nguvu kwa kila kitu, huyo mwana CCM ingekua Takukuru au polisi haziingiliwi na Hawa wana siasa ambao wametengeneza katiba ya kujilinda wenyewe kwa wenyewe basi jamaa angewajibishwa haswa
Tatzo n moja huyo mkurugenz wa Takukuru anaweza kupata maelekezo kutoka kwa alie mteua kuwa kijana wao wa uvccm aachiwe asipelekwe mahakamani
Tulishaona kwa kina kangi lugola, nyalandu,na yule jamaa wa bandari
 
Ka ingia cha kike ndugu yako! Na nikueleze tu, Yani kwa Mkutugenzy Hamduni? Haki bin haki, jamaa hataonewa, ila Kama kakosea hakutakuwa na Rehema!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…