Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
Vyote hivyo, ukiongeza na tabia zao utakua umenisaidiaSifa kuhusu Nini sasa
Vyakula
Mavazi
Utamaduni
Kitu gn haswa unakihitaji
Hawa nao wamekuotea, pata breakfast kwanza halafu tutwakwambia balaa la wasambaa π€£Kesi ushakua ngumu, wenye uzoefu wa tabia, sifa na hulka ya haya makabila mawili naomba mnijuze maana β¦β¦β¦β¦β¦..
View attachment 3410435
My kaka, hapa najinywea zangu kahawa nahisi nakabwa.Hawa nao wamekuotea, pata breakfast kwanza halafu tutwakwambia balaa la wasambaa π€£
Vitu vingine mpk naona uvivu tu kukuandikia hapa yaani ni kazi kuvielezea embu labda kama wewe unaweza nipe maelezo ya sifa labda za kabila lolote unalolijua ili nitokee hapoVyote hivyo, ukiongeza na tabia zao utakua umenisaidia
Asante πMbegu fupi
Wanafanya kazi sana
Wanaishi makundi makundi (mtaa wasambaa)
Wanaume wanapenda pikipiki ( kibao cha mbuzi/daz)
Uzuri wanajisahau watakuja waseme wenyewe wana code hao π€£My kaka, hapa najinywea zangu kahawa nahisi nakabwa.
Hebu niambie tu mabalaaa yao π π π
Wasambaa wanawakeKesi ushakua ngumu π€¦ββοΈ
Wenye uzoefu wa tabia, sifa na hulka ya haya makabila mawili naomba mnijuze maana β¦β¦β¦β¦β¦..
View attachment 3410435
Shida sio kuwajua shida ni kuelezea kitu ambacho kinakuwa sio hakika..yaani kwa mfano nikwambie wamakonde wana roho mbaya wakati wako ambao wana roho nzuri so which is which..me nadhani kwa sasa interaction ya kidunia imefanya hakuna Tena tabia za kabila Fulani watu wote wako sawa tu..Ngoja waje kaka Mshana Jr atakua anawajua wasambaa nahisiπ€
Umeamka sasa chafujo π πHv kwann wanawake wa kisambaa wana visigino vikubwa kama trekta? π
Wamakonde wamefanya nini tena huko?Kesi ushakua ngumu
Umenena vyema sana ila wasambaa na biashara ya machungwa ni damu damuShida sio kuwajua shida ni kuelezea kitu ambacho kinakuwa sio hakika..yaani kwa mfano nikwambie wamakonde wana roho mbaya wakati wako ambao wana roho nzuri so which is which..me nadhani kwa sasa interaction ya kidunia imefanya hakuna Tena tabia za kabila Fulani watu wote wako sawa tu..
Ndo maana nikasema kwa sasa hakuna tabia officially za kabila Fulani hususa kwa sababu mtu anaweza kuwa sio msambaa ila akajua kupika,akajua kudeka,akawa msafi,akwa na heshima...Wasambaa wan awake
Wanajua kupika
Wanajua kudeka
Wanajua kumhudumia mume
Wanajua kutumikia ndoa
Ni wasafi
Wana heshima
Wana adabu
Wana viugho
Sure naona tu discuss lakini tusiseme tabia labda tutaje Mila,tamaduni,mahari,sherehe,shughuli za kiuchumi n.k...ila tabia hapana kwa kweli hakuna sifa au tabia ya kabila fulaniUmenena vyema sana ila wasambaa na biashara ya machungwa ni damu damu