Mkereketwa_Huyu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 10,586
- 7,976
Wacha kumdanganya mwenzio.....mbegu fupi ipo kwa kila kabila.Mbegu fupi
Wanafanya kazi sana
Wanaishi makundi makundi (mtaa wasambaa)
Wanaume wanapenda pikipiki ( kibao cha mbuzi/daz)
Wacha kumdanganya mwenzio.....mbegu fupi ipo kwa kila kabila.Mbegu fupi
Wanafanya kazi sana
Wanaishi makundi makundi (mtaa wasambaa)
Wanaume wanapenda pikipiki ( kibao cha mbuzi/daz)
Sikua nafahamu kwamba wamakonde wamegawanyika na hapo zamani walikua hawachangamani.Wamakonde wamefanya nini tena huko?
Wewe elewa Wamakonde wamegawanyika makundi manne wapo wa Magharibi, Mashariki, Kasikazini na Kusini, sasa wewe unataka kujua kuhusu wepi?
Same apply kwa Wasambaa (Washambaa)
Huu ni uongo nimeishi Lushoto nimeingia kwenye mahusiano na Wanawake wa kisambaa mara 2 kaanza wa kwanza nikatoka kafuata wa pili nikatoka nikaishia hapo, hayo unayoyasema ni kweli ila ni pale mwanzo mwanzo mambo penzi linapoanza mapenzi yakichanganya ni viburi tena viburi haswa, wasambaa wamepakana na Moshi usisahauWasambaa wan awake
Wanajua kupika
Wanajua kudeka
Wanajua kumhudumia mume
Wanajua kutumikia ndoa
Ni wasafi
Wana heshima
Wana adabu
Wana viugho
Ni wacheshi
Ni wachapakazi
Wamakonde wana ndonya
Duuh tabia ya kuchukua tu bila kutoa ni ubinafsi.Achana na barabarani sasa ukae nae pamoja ndio utaimba vizuri
Utaombwa kiasi ukiwa na kitu unakuwa na deni naye
Yaani wanaomba mpaka utaanza kujificha kutumia vitu vyako mwenyewe sio me wala ke.
Halafu cha kushangaza wao wagumu kutoa
Hii ni kweli kabisa 💯 📌Kuna makabila uchafu uko kwenye damu
Kuna makabila wanawake hawajui kupika
Kuna makabila uvivu ni asili yao nknk
Mpwa una uzoefu binafsi na hili?Wanapenda sana juju mambo ya tawire kwao kawaida, kilingeni haupiti mwezi.
Eti kutingisha makalio 😂Mila tamaduni na desturi za kabila Fulani zinaweza kuathiri tabia ya mtu, mfano wadada wa kizaramo kutingisha makalio kwenye vigoma ni tabia ambayo imekuja baada ya desturi na mila zao.
Lazima nigusie mada pendwa😅Eti kutingisha makalio 😂
Inapendeza 👌Wasambaa wakarimu sana wana moyo wa upendo
Hakuna mtu amekimbia, kuwa na subira tu swali lako litafikiwa.Hii mada haina mvuto mnapoulizwa maswali jibuni maswali wakuu mboni mnaanzisha mada kisha mnakimbia maswali?
Kinachombadili mtu kutoka uhalisia wake ni vile utakavyoishi nayeHuu ni uongo nimeishi Lushoto nimeingia kwenye mahusiano na Wanawake wa kisambaa mara 2 kaanza wa kwanza nikatoka kafuata wa pili nikatoka nikaishia hapo, hayo unayoyasema ni kweli ila ni pale mwanzo mwanzo mambo penzi linapoanza mapenzi yakichanganya ni viburi tena viburi haswa, wasambaa wamepakana na Moshi usisahau
Ungewauliza kwanza wangekwambia wao ni wapi ndio ungeuliza ujibiwe vizuri, mfano mdogo tu watu wa Mbagala Majimatitu na Tandale Uzuri hawawezi kufanana na watu wanaoishi Goba, Masaki au Oysterbay, hapo nadhani unanielewa namaanisha niniSikua nafahamu kwamba wamakonde wamegawanyika na hapo zamani walikua hawachangamani.
Hawa niliokutana nao hata sijui ni wamakonde wa wapi.
Wamakonde au wasambaa?Uchawi
Mihuri ya usoniBasi wanawake wa kisambaa wako vizuri sana.
Ndonya ndiyo nini?
😂 Sawa Mangi, mnapenda kutingishiwa so wazaramo wanawapa kile kitu roho zenu tayari zinapenda.Lazima nigusie mada pendwa😅
100% nipo na msambaa 5 yrs sasa sijawahi kujuta ni msafi sijawahi ona tangu nizaliwe hataki kusikia harufu ya jasho,hataki kuona uchafu wa vyombo, ndani panang'aa e.t.c, anajua kupika, wanaheshimu mume, mcheshi sana hata ukikasirika lazima akuweke sawa ufurahi, anapenda ndugu wangu, hana roho chafu/mbaya, mchapakazi mpaka saa nyingine huwa namwambia mama pumzika hii dunia hatukuja kuteseka, Wapo vizur kwa kweli hasa mtu ukibahatika kama mimi!Wasambaa wanawake
Wanajua kupika
Wanajua kudeka
Wanajua kumhudumia mume
Wanajua kutumikia ndoa
Ni wasafi
Wana heshima
Wana adabu
Wana viugho
Ni wacheshi
Ni wachapakazi
Wamakonde wana ndonya
Upo sahihi kabisa mkuuKinachombadili mtu kutoka uhalisia wake ni vile utakavyoishi naye
Nenda N'twala sasa😀100% nipo na msambaa ni msafi sijawahi ona tangu nizaliwe, anajua kupika, wanaheshimu mume, Wapo vizur kwa kweli hasa mtu ukibahatika kama mimi!