MWANAHARAMU
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 5,350
- 13,622
Kumbuka mmakonde si ntu, halafu inategemea ntu na ntu.Shida sio kuwajua shida ni kuelezea kitu ambacho kinakuwa sio hakika..yaani kwa mfano nikwambie wamakonde wana roho mbaya wakati wako ambao wana roho nzuri so which is which..me nadhani kwa sasa interaction ya kidunia imefanya hakuna Tena tabia za kabila Fulani watu wote wako sawa tu..
Wana roho ya kwa nini, yaani apate yeye tu