Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
- Thread starter
- #101
Kwahiyo pamoja na kasoro zao zote ila kwenye mizagamuano wako njema!Ila hakuna mwanamke anayejua kukatika miuno kama mmakonde plus shanga zao
Kwahiyo pamoja na kasoro zao zote ila kwenye mizagamuano wako njema!Ila hakuna mwanamke anayejua kukatika miuno kama mmakonde plus shanga zao
Bro, mambo vipi? Kwahiyo kwa Wamakonde umeona ndonya tu? Vipi kuhusu Sindimba?Wasambaa wanawake
Wanajua kupika
Wanajua kudeka
Wanajua kumhudumia mume
Wanajua kutumikia ndoa
Ni wasafi
Wana heshima
Wana adabu
Wana viugho
Ni wacheshi
Ni wachapakazi
Wamakonde wana ndonya