Binti wa zamani Platinum Member Joined Nov 19, 2011 Posts 15,052 Reaction score 36,866 Jul 19, 2025 Thread starter #101 mhogoz said: Ila hakuna mwanamke anayejua kukatika miuno kama mmakonde plus shanga zao Click to expand... Kwahiyo pamoja na kasoro zao zote ila kwenye mizagamuano wako njema!
mhogoz said: Ila hakuna mwanamke anayejua kukatika miuno kama mmakonde plus shanga zao Click to expand... Kwahiyo pamoja na kasoro zao zote ila kwenye mizagamuano wako njema!
Foxhound JF-Expert Member Joined Dec 15, 2013 Posts 28,740 Reaction score 76,383 Aug 6, 2026 #102 Mshana Jr said: Wasambaa wanawake Wanajua kupika Wanajua kudeka Wanajua kumhudumia mume Wanajua kutumikia ndoa Ni wasafi Wana heshima Wana adabu Wana viugho Ni wacheshi Ni wachapakazi Wamakonde wana ndonya Click to expand... Bro, mambo vipi? Kwahiyo kwa Wamakonde umeona ndonya tu? Vipi kuhusu Sindimba?
Mshana Jr said: Wasambaa wanawake Wanajua kupika Wanajua kudeka Wanajua kumhudumia mume Wanajua kutumikia ndoa Ni wasafi Wana heshima Wana adabu Wana viugho Ni wacheshi Ni wachapakazi Wamakonde wana ndonya Click to expand... Bro, mambo vipi? Kwahiyo kwa Wamakonde umeona ndonya tu? Vipi kuhusu Sindimba?