mwanamabadiliko
JF-Expert Member
- Oct 30, 2010
- 938
- 1,540
Siweki uzi mrefu, Kuna kitu kina nitatiza, nataka kujua marumaru ipi ni Bora kati ya 69*60, 50*50, 49*40, 30*30
Kinachonichanganya zaidi ni box moja la 60*60 linajenga square MITA 1.44 ndo ghali zaidi.
50*50 box boja inajenga skwea MITA 1.75 bei raisi kuliko 60*60
Za 40*40 hizi box moja inajenga skwea MITA 1.92 lakini ndo bei Chee kuliko za hapo juu
Sasa nashindwa kuelewa , marumaru ya 60 ni ghali na inajenga sehemu ndogo.
Maru Maru ya 40 ni rahisi na inajenga sehemu kubwa.
Sasa hapa Bora ni ipi, na kwanini