mwanamabadiliko
JF-Expert Member
- Oct 30, 2010
- 938
- 1,540
Kwahiyo hapo mtaalamu ipi ni boraNijuavyo mimi ni kwamba thikness ya Tiles za 60 kwa 60 ni nene kuliko 40 na 50 kwa hiyo inauwezo wa kuhimili mikiki ya kutokuvunjika(ikijengwa) kuliko nyingine.
Siko sure kama nitakuwa sawa kama nitakosea nitarekebishwa.Siweki uzi mrefu, Kuna kitu kina nitatiza, nataka kujua marumaru ipi ni Bora kati ya 69*60, 50*50, 49*40, 30*30
Kinachonichanganya zaidi ni box moja la 60*60 linajenga square MITA 1.44 ndo ghali zaidi.
50*50 box boja inajenga skwea MITA 1.75 bei raisi kuliko 60*60
Za 40*40 hizi box moja inajenga skwea MITA 1.92 lakini ndo bei Chee kuliko za hapo juu
Sasa nashindwa kuelewa , marumaru ya 60 ni ghali na inajenga sehemu ndogo.
Maru Maru ya 40 ni rahisi na inajenga sehemu kubwa.
Sasa hapa Bora ni ipi, na kwanini
Mh hapa kama umeongea kichina, hujaeleweka. Halaf Kila box ya tile Ina ukubwa inayoweza kujenga na si lazma iwe MITA mojaSiko sure kama nitakuwa sawa kama nitakosea nitarekebishwa.
Kwa kawaida box ya tiles inacover square meter 1.
So kama ni tiles za 60 x 60 ina maana zitakuwa chache kwakuwa ni kubwa ila 30 x 30 zitakuwa nyingi kwa kuwa ni ndogo. Ubora sidhani kama unatokana na vipimo hivyo bali na utengenezaji wake.
Soma huu uzi kuna comment moja jamaa kaeleza vizuri labda utaelewa nikichokuwa najaribu kueleza Naomba kujua gharama za kuweka tiles kwa chumba kimojaSiko sure kama nitakuwa sawa kama nitakosea nitarekebishwa.
Kwa kawaida box ya tiles inacover square meter 1.
So kama ni tiles za 60 x 60 ina maana zitakuwa chache kwakuwa ni kubwa ila 30 x 30 zitakuwa nyingi kwa kuwa ni ndogo. Ubora sidhani kama unatokana na vipimo hivyo bali na utengenezaji wake.
Hilo ndio jibu kwa kuongezea tu 60 zinapendeza pia kwakuwa mistari ni michacheNijuavyo mimi ni kwamba thikness ya Tiles za 60 kwa 60 ni nene kuliko 40 na 50 kwa hiyo inauwezo wa kuhimili mikiki ya kutokuvunjika(ikijengwa) kuliko nyingine.
60Kwahiyo hapo mtaalamu ipi ni bora
Asante sanaTofauti ni unene (thickness) ya tiles, 60*60 ni nene kuliko 50*50, hivyohivyo 50*50 ni nene kuliko 40*40. Pia muonekano-60*60 zinakuwa na mistari Michache hivyo kufanya muonekano wa nyumba kuwa mzuri, ndio maana wengi huweka 60*60 sebleni na 40*40 vyumbani na sehemu nyingine