Naomba kujua, ugumu wa kupeana connection za kazi unatoka wapi

Baada ya kupewa connection Kuna kurudisha mkono.

Mwanamke aliyepewa connection ya kazi na mwanaume anaweza kurudisha mkono kwa njia tofauti iitwayo " paying in kind"

" Paying in kind" maana Yake Ni Yale malipo yaliyo tofauti na vitu tangible Kama pesa ambayo mtu anaweza kumlipa mwenzake.

Mwanamke anaweza kumpa "UTELEZI" mwanaume aliyempa connection ya muhimu.
Malipo ya aina hiyo hutokea baada ya Memorandum of understanding ( M.O.U) Kati ya wahusika.
 
Oh ok
 
Naomba kujua ugumu unatoka wapi kwa mtoto wa kiume kupewa connection ya kazi na mwanaume mwezie?

Ila kwa mtoto wakike sio ngumu hii kwangu sio sawa kabisa
Kama hakuna undugu wala kufahamiana kwa namna yoyote basi lengo kubwa linakua ni kupata reward ya ngono. Hata hapa jf nenda kule jukwaa la ajira fatilia thread za wanawake na wanaume wanaoomba msaada wa kupata kazi utaona threads za wanawake ndio zina comments nyingi
 
Kweli.thread za madem kuomba kaz watu wanatoa misaada hatar ila kidume mmh comment 2 afu za nenda kalime.
 
Sana mzee.Saiv mfumo wa kimapenz ni hela hela tu.Ila ni bora umsaidie boy, demu unampa conncetion ananz kutoka na boss anakusagia kungun na kazi unafukuzwa.
Wanawake wanafadhila sana kuliko wanaume. Huwezi kumkukuta mwanamke uliyemuunganishia connection na kumla halafu akakusagia kunguni. Mwanamke ukishamla hana ujanja tena
 
Kama hakuna undugu wala kufahamiana kwa namna yoyote basi lengo kubwa linakua ni kupata reward ya ngono. Hata hapa jf nenda kule jukwaa la ajira fatilia thread za wanawake na wanaume wanaoomba msaada wa kupata kazi utaona threads za wanawake ndio zina comments nyingi
Ngoja tuzidi kuomba Mungu
 
Naomba kujua ugumu unatoka wapi kwa mtoto wa kiume kupewa connection ya kazi na mwanaume mwezie?

Ila kwa mtoto wakike sio ngumu hii kwangu sio sawa kabisa
Mojawapo wa mtu ambaye katika malezi yake hakulelewa na kukuzwa kiume ni pamoja na mtu anayejinasibu kuwa ni mwanaume halafu inapokuja maswala ya fursa au kuwezesha ana amini kuwa akiwapa mademu basi atapata credit na kupata nyapu za bei nafuu.

Anachosahau mwanamke akipata mchongo huo na akawa mzigoni ukiwa na shida kumgongea hodi ni mtihani mkubwa lakini pia ni ngumu sana huyu mwanamke kupanga mitikasi na wewe na siku akikaa vema sahau yeye kukusaidia especially akiwa anapigwa miti na superior wako wa kazi.

Mtoto wa kiume acha umama. Bros before hoes.
 
Naomba kujua ugumu unatoka wapi kwa mtoto wa kiume kupewa connection ya kazi na mwanaume mwezie?

Ila kwa mtoto wakike sio ngumu hii kwangu sio sawa kabisa
Mungu ndo Kila kitu, kwenye mapambano ni kumtanguliza Mungu. Mungu ni mwema.

Wanaopewa kazi Kwa kugawa uchi ni sawa na choo bila mlango.
 
Back
Top Bottom