Naomba kujua uhusiano wa kifua kikubwa au six pax(mbavu nene) na Nguvu za kupigana

Naomba kujua uhusiano wa kifua kikubwa au six pax(mbavu nene) na Nguvu za kupigana

dvj nasmiletz

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2018
Posts
2,079
Reaction score
2,254
nguvu za kupigana
Mbinu za kupigana
Style za kupigana
...zinahusikaje na
Six pack
Mbavu nene
Misuli mikononi
Midevu ya morison au rickross
N.k??
 
nguvu za kupigana
Mbinu za kupigana
Style za kupigana
...zinahusikaje na
Six pack
Mbavu nene
Misuli mikinoni
Midevu ya morison
N.k??

Nb:
Je huwezi kuwa baunsa wa mtu mpaka uwe na hayo madude??
 
Uhusiano ni Mkubwa Sana ni Kama Vile Mwanaume Kutongoza halafu Unalo Gari Na Pesa Walao kubadilishia Mboga...!
 
Mkuu kama umelewa kalaleeeee.

Kuna Pombe zingine zinamtumaga mtu agombane sasa sijui unamvizia baunsa ganii? 🤣🤣🤣🤣🤣

Viungo vya bandia vimekuwa bei mnooo.
nipo naangalia hapa movie...star ni mwembamba lakini kampiga jamaa bonge la jitu
 
1622229193395.png
 
Ushahidi upo wap
Shahid zipo nying tu..chek movie za luck 7,chek kick boxer ya van dam,chek zena betina,chek j plus vs seba,lakin pia tembelea club uone bouncers wanavokalishwa na single pack
 
Kwenye ngumi kuna vitu vikubwa vitatu (3) vinavyomfanya mtu kushinda mpambano nitaviweka katika %:-
1)Nguvu
Inatokana na Size ya mwili, mwili mkubwa nguvu zaidi, mwili mdogo nguvu ndogo...mwenye nguvu/mwili ana aailimia kubwa kumpiga mwili mdogo ikiwa ujahusisha factor nyengine.

2)Timing
Kuoteana hapa inahusika Bahati au kumuotea mpinzani

3)Skills
Hapa mtu aliyepitia mafunzo ya ngumi ana nafasi kubwa ya kumpiga asiyepitia mafunzo...ikiwa ujahusisha factor nyengine.


So...hapo inategemea Factor gani imezidi kwa mtu na factor ipi imepungua kwa mtu ita dertamain kuwa ata pigwa au atampiga mowenizie...Kwa maelezo yako ulichokiona ni mtu mwenye misuli/mwili uliojaza kapigwa na mwenye mwili mdogo bila shaka hapo
*Mwili mdogo kapitia mafunzo ya kupigana na kaiva hivyo anangukia kwenye SKILLS na TIMING.
*Mwili Mkubwa yeye anazo NGUVU tu na anaweza akawa hajamzidi WEIGHT kubwa maana kuna WEIGHT CLASS pia.

NB: Hiyo ni Movie kwenye ulimwengu wa Movie wanaigiza kuna asilimia kubwa ya waliopitia mafunzo ya ngumi ila in real life kuna katika watu 300 unawezab kuta hakuna hata mmoja ana mafunzo ya ngumi So kimtaa mtaaa MWILI una matter zaidi usije ukaleta ujuaji kwa mtu aliyekuzidi mwili ×2 yako hiyo sio movie.
 
Back
Top Bottom