Naomba kujua ukweli kuhusu 'kiama'

Naomba kujua ukweli kuhusu 'kiama'

Picha inajieleza hiyo!
 
Attachments

  • 13254583_1024531407635686_8922978886735772987_n.jpg
    13254583_1024531407635686_8922978886735772987_n.jpg
    14.4 KB · Views: 94
The end of the world will happen when the earth can no longer sustain LIFE. This has been proven scientifically.
No more religious explanation and mysticism around the that
What happened after that will be the dead end of humanity.
 
Ka unaogopa kiama nenda kaungane na wale wanaotaka kuhamia sayari ya mars huko hakutokuwa na stori za Yesu wala Mohammed
 
atarejea yerusalemu ipi?? hii hapa mashariki ya kati? Siamini kitu kama hicho. Mbona patakuwa padogo sana? hiyo "yerusalemu mpya" ni picha tu bwana ya dunia mpya yenye amani na furaha tele. Au kuna uthibitisho tofauti wa maandiko? halafu hiyo milima na mito watakayokimbilia "waovu" si milima na mito halisi bali njia wanazotumia watu kutafuta msaada wanapopigwa na ghadhabu/misukosuko. "Mungu kwetu sisi ni kimbilio na nguvu, msaada utakaoonekana tele wakati wa mateso". Sasa hao "waovu" wakati wa mateso badala ya kukimbilia kwa Mungu wanakimbilia kwa vitu vingine. Ndo hivyo vimepewa jina la milima na mapango.
Teh teh, lugha ya picha.
 
THERE IS NO GOD,ENJOY YOUR LIFE TO THE MAXIMUM! BE HAPPY

Karibu katika ulimwengu huru

...........Free ideas.......
Which argument can you provide to denounce God existence!!
What is the supportive claim for your belief that God does not exist
 
Mojawapo ya yale yanayonitatiza ni kuona kuwa nikiwa kwenye usingizi wangu wa pono kama nisipobahatika kuota chochote nakuwa sielewi chochote kinachoendelea juu yangu aidha kimwili au kiroho.

Lakini tunapokufa na mwili kuoza roho zetu zinabaki na kuendelea ku experience hali fulani (mateso au raha) sehemu fulani huku ikisubiri siku ya kiama! Lakini wakati nilipokuwa hai nikawa tu usingizini mimi au tuseme roho hiyo hiyo haikuweza ku experience chochote kilichoweza kubaki kama kumbukumbu akilini mwangu wakati na baada ya huo usingizi wangu.
 
Which argument can you provide to denounce God existence!!
What is the supportive claim for your belief that God does not exist

Simply coz there is no evidences for his/her/its existence!
................ free ideas.........
 
Mojawapo ya yale yanayonitatiza ni kuona kuwa nikiwa kwenye usingizi wangu wa pono kama nisipobahatika kuota chochote nakuwa sielewi chochote kinachoendelea juu yangu aidha kimwili au kiroho.

Lakini tunapokufa na mwili kuoza roho zetu zinabaki na kuendelea ku experience hali fulani (mateso au raha) sehemu fulani huku ikisubiri siku ya kiama! Lakini wakati nilipokuwa hai nikawa tu usingizini mimi au tuseme roho hiyo hiyo haikuweza ku experience chochote kilichoweza kubaki kama kumbukumbu akilini mwangu wakati na baada ya huo usingizi wangu.

Umejuaje kuwa ukifa roho(kama ipo)inabaki ?.Kwani umeshawahi kufa ?.Acha kukariri story za kufikirika.

.... Free ideas....
 
What did God do during that eternity before he created everything? If God was all that existed back then, what disturbed the eternal equilibrium and compelled him to create? Was he bored? Was he lonely? God is supposed to be perfect. If something is perfect, it is complete--it needs nothing else. We humans engage in activities because we are pursuing that elusive perfection, because there is disequilibrium caused by a difference between what we are and what we want to be. If God is perfect, there can be no disequilibrium. There is nothing he needs, nothing he desires, and nothing he must or will do. A God who is perfect does nothing except exist. A perfect creator God is impossible.
 
Perfection Begets Imperfection

What!? If something is perfect, nothing imperfect can come from it. Someone once said that bad fruit cannot come from a good tree, and yet this "perfect" God created a "perfect" universe which was rendered imperfect by the "perfect" humans. The ultimate source of imperfection is God. What is perfect cannot become imperfect, so humans must have been created imperfect. What is perfect cannot create anything imperfect, so God must be imperfect to have created these imperfect humans. A perfect God who creates imperfect humans is impossible.
 
Umejuaje kuwa ukifa roho(kama ipo)inabaki ?.Kwani umeshawahi kufa ?.Acha kukariri story za kufikirika.

.... Free ideas....
Free Ideas sijakariri na ndiyo maana kuna vitu najiuliza na kuviweka hadharani ili kupata ufafanuzi. Nimeandika kulingana na kile ninachofundishwa na kuamini katika dini yangu.

I am pretty sure our diverging views are based on each one's belief and that's what we are supposed to share without degrading each other.
 
Simply coz there is no evidences for his/her/its existence!
................ free ideas.........
What do you mean by evidence?
If you mean that evidence must be empirical then it is okay as a matter of fact which evidence do you have for non existence of God?
Mind you that lack of the emperical evidence is not necessarily equivalent non existence of God. It is merely lack of evidence.
The existence of God can explained ontologically.
 
Hivi huyu ISRAEL mtoa roho mnayemzungumzia yukoje ameainishwa kwenye maandiko msaada tafadhali
 
Back
Top Bottom