HORSE POWER
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 2,238
- 1,577
Free ideas
Unaye mama/baba? Baba yako anaye baba?
Unaamini Babu ya mababu zako alikuwa ni nyani au binadamu/mtu?
una uamini kwa kiasi gani ukweli uliopo kwenye youtube na google mkuu?Pitia jukwaa la jamii intelligence,kule angalau utapata majibu kwa kiasi.
Ila usiache kuutafuta ukweli kupitia google,youtube nk
Kaanze kutafuta hii makitu reincarnation.
We cha maana ulichoandika ni kipi hapoHamna cha maana ulichoandika
Well written. Mashallah
Mwenyezi Mungu atufanyie wepesi pindi tuifkiapo siku hiyo
Unasema nini?Kuwa nyani kivipi!?,we ni mmoja wa wale mnachanganya,neno "Look like" na ""To be"!,.
Hawakuwa manyani bali they were "cousins of"
Je wewe ni moja ya wale wanaoamini kwamba mtu wa kwanza kuina ziwa victoria alikuwa white man!?.Ukiambiwa changanya na zako!
Inaonekana hauijui Evolution vizuri
Unasema nini?
Babu ya babu zako zilikuwa ni cousins of nyani(manyani)?
Au babu zako look like Manyani?
Babu zako ni manyani?
Nieleweshe vizuri hapa, Evolution ipi hiyo unayozungumzia hapa ndugu?
Za kwako ushazichanganya au umechanganyikiwa?
Mbona yako mafupi sana alafu hayaeleweki!Maelezo mengi alafu yote pumu
Mbona yako mafupi sana alafu hayaeleweki!
usimwambie aende kule mana atakutana na Kiranga ndio atamvuruga kabisa na kumfanya awe mpaganiPitia jukwaa la jamii intelligence,kule angalau utapata majibu kwa kiasi.
Ila usiache kuutafuta ukweli kupitia google,youtube nk
Kaanze kutafuta hii makitu reincarnation.
TafutaNatafuta umaarufu
Free ideas huonekani kujibu maswali unayoulizwa wala kutoa ufafanuzi wa unayoyaandika.Inaonekana hata hujui maana ya "cousin" Jitahidi kuelewa hoja!
Iyo ni imani yatupasa kuamini ivo ili tutende Yale ya kumpendeza mungu