Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Ipo mada yake tumelidadavua vizuri sana hili najaribu kupata link yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ipo mada yake tumelidadavua vizuri sana hili najaribu kupata link yake
Habari zenu wana JF,
Kuna kitu nimekiwaza na kukitafakari kwa muda wa kama siku 3 hivi lakini bado sijapata majibu yake. Basi nipo hapa kuomba msaada wa kueleweshwa kiundani kwa watu wenye uelewa wa mambo ya kidini awe muislam, mkristo budhaa na hata asiye na dini.
Suala kubwa linalonitatiza ni kuhusu ukweli wa siku ya kiama, jehanamu na pepo. Je kweli hivi vitu vipo kweli? Nikiri wazi kabisa kwamba mimi ni mkristo mkatoliki na nimekua nikifundishwa haya kama sio kukaririshwa toka nikiwa mdogo katika mafundisho ya komunio ya kwanza na kipaimara kwamba kuna hivyo vitu 3 nilivyovitaja.
Yafuatayo ni maswali ambayo najiuliza na ningefurah kama nitapata majibu ya kina na kuridhisha.
1. Je ni kweli kuna siku ya kiama?
2. Na kama kweli ipo kwanini MUNGU aliwaadhibu na kuviangamiza baadhi ya vizazi kwa matendo yao machafu na kutosubiri siku ya kiama?
3. Je hawa walioadhibiwa na kuangamizwa siku za nyuma walikuwa waovu kuliko sisi wa zama hizi?
4. Je hao walioangamizwa wataletwa tena mbele ya hukumu? Na nini hatima yao na ilihali walishaadhibiwa kwa kuangamizwa?
Baada ya kupata ufafanuzi wa kutosha wa maswali hayo nadhani suala la pepo na jehanamu nitaweza kulielewa kwa urahisi.
Inawezekana kabisa kuwa kuna mada kama hii imeshawahi kujadiliwa kama hamtojali naomba kuwekewa link yake.
NB: Nimetumia zama za nabii Nuhu na gharika kuu kuuliza maswali hayo.
Shukrani.
Jifunze kuandika kwanza halafu ndio uniulize swali.
Hata hizo imani unazoziponda hapa haziruhusu kuua kama watu wengine wanafanya.Hakuna kitu kama hicho. Mambo ya kijinga sana kuamini sijui kiama, moto, sijui peponi ni ujinga tu. Kifupi mambo ya Dini ni ya kufikirika tu ili kukutisha uwe mtumwa wa imani, na ukizidisha maimani ya hizo riwaya zilizoletwa kwenye majahazi, unaishia kuua watu bure na kuwa hata gaidi kwa kudhani unafanya kazi ya Mungu kumbe umesharukwa akili. We ishi kwa amani, usiue, usidhulumu, na machafu achana nayo utaishi vizuri basi.
Usipende kuzungumza usichokuwa na elimu nacho ni hatari sanaWewe huna Elimu ya hizo riwaya zako, soma vizuri tena, unajua maana ya Alpha na Omega? Mungu unajua destiny ya kila binaadamu na mwisho wake, sasa kwa nini anajua utaenda motoni halafu anakuacha hata ukiomba vipi utachomwa tu kwa kuwa alishapanga! So why worry your self?
Ndio maana nasema vitabu vya dini vinajichanganya. Ukitafakari kwa undani unaona kuwa haya mambo ya dini ni stories za kutunga tu, hazina uhalisia wowote. Hakuna mambo ya kiama. Ni kutishana tu ili watu wawe na amani. Sisi wakatoliki tulikuwa tunaambiwa kuwa kabla ya kupokea mwili wa Bwana lazima ipite angalau saa moja bila kuweka chochote mdomoni. Reason: Waafrika walikuwa hawana utamaduni wa kupiga mswaki, hivyo ukiruhusu watu wale muda huo , padre anapokukomunisha kinywani kutakuwa kumejaa vyakula na hivyo itakuwa kumpumulia harufu mbaya! Lakini tuliambiwa kuwa ni dhambi ukila one hour within communion. Sijui dhambi hiyo iliishia wapi sasaHabari zenu wana JF,
Kuna kitu nimekiwaza na kukitafakari kwa muda wa kama siku 3 hivi lakini bado sijapata majibu yake. Basi nipo hapa kuomba msaada wa kueleweshwa kiundani kwa watu wenye uelewa wa mambo ya kidini awe muislam, mkristo budhaa na hata asiye na dini.
Suala kubwa linalonitatiza ni kuhusu ukweli wa siku ya kiama, jehanamu na pepo. Je kweli hivi vitu vipo kweli? Nikiri wazi kabisa kwamba mimi ni mkristo mkatoliki na nimekua nikifundishwa haya kama sio kukaririshwa toka nikiwa mdogo katika mafundisho ya komunio ya kwanza na kipaimara kwamba kuna hivyo vitu 3 nilivyovitaja.
Yafuatayo ni maswali ambayo najiuliza na ningefurah kama nitapata majibu ya kina na kuridhisha.
1. Je ni kweli kuna siku ya kiama?
2. Na kama kweli ipo kwanini MUNGU aliwaadhibu na kuviangamiza baadhi ya vizazi kwa matendo yao machafu na kutosubiri siku ya kiama?
3. Je hawa walioadhibiwa na kuangamizwa siku za nyuma walikuwa waovu kuliko sisi wa zama hizi?
4. Je hao walioangamizwa wataletwa tena mbele ya hukumu? Na nini hatima yao na ilihali walishaadhibiwa kwa kuangamizwa?
Baada ya kupata ufafanuzi wa kutosha wa maswali hayo nadhani suala la pepo na jehanamu nitaweza kulielewa kwa urahisi.
Inawezekana kabisa kuwa kuna mada kama hii imeshawahi kujadiliwa kama hamtojali naomba kuwekewa link yake.
NB: Nimetumia zama za nabii Nuhu na gharika kuu kuuliza maswali hayo.
Shukrani.
Ulimwengu huru ulijitengeneza wenyewe?
Who created the laws of nature?
Nimesikia hata computers na manowari zilijitengeneza zenyewe, karibuni kwenye ulimwengu wa full(fool?)automation!
Ni nani aliyeutengeneza huo ulimwengu huru unaosema?
Huwezi kumtambua Mungu unaposhindwa kujitambua mwenyewe. Na hiyo ndio Changamoto yako.
Link The Noble Quran - القرآن الكريم
Mimi nina elimu kubwa ya hizo riwaya, ndio maana nimejitoa huko utumwani kwenu.Usipende kuzungumza usichokuwa na elimu nacho ni hatari sana
Samahani mkuu, hili LA ulimwengu kutokea "out of nothing" unalithibitisha vipi?Ni wendawazimu kukataa kwamba ulimwengu ulitokea out of nothing halafu hapo hapo ukaamini kuwa eti mungu alitokea tu!.Think big!
Karibu katika ulimwengu huru!
..........Free ideas.......
Kwakuwa umeuliza kwa imani zote nami nisemi kidogo. Katika uisilam kiama ni siku ngumu kuliko ugumu wowote ambao mwanadamu anaweza waza. Ni siku ya hukumu. Kabla ya kusimama kiama ni wazi kuwa viumbe wote watakafu(wakiwemo maaika wote mpaka mtoa roho-Izraeli).
Kisha watu watafufuliwa kutoka katika matumbo ya ardhi wakiwa katika hali tofauti tofauti.kulingana na matendo yao. Hata hivyo bado siku hiyo itakuwa ngumu sana isipokuwa tu kwa wale waliridhiwa na mola wao.
Hapo ndipo watu watahukumiwa kwa matendo yao. Kuna mchakato mrefu.sana siku hiyo. Hakuna kujuana hapo baba hatamjua mwana wala mwana hatamjua mama. Kila mtu nafsi yake itakuwa imeshughulishwa na mambo yake. Kisha watu watahukumiwa kwa kuulizwa juu ya.yale waloyatenda. Na pindi watakapo danganya,itafungwa midomo yao kisha kila kiungo kipekee kitatoa ushahidi wa kila ulichokifanya.
Kwa wale wanodhani ukifa ndio kiama chako,hakika hawapo sahihi hata.kidogo. Kufa ni katika kitendo cha kufika.mwisho.wa dumia.na mwanzo wa akhera. Kaburi watu watu wataanza kukutana na kheri zao ama shari zao kulingana na matendo yao. Hapo ni adhabu kwa makosa hadi itakapo fika kiama. Na adhanu hii haipunguzi.adhabu atakayoipata mwanadamu siku ya kiama baada ya kuhukumiwa.
Hakika kiama ni siku nzito na tunamuomba Molla wetu atufishe.ili hali yu radhi na sisi ili tuweze kuongoka adhabu zake. Amin.
Samahani mkuu, hili LA ulimwengu kutokea "out of nothing" unalithibitisha vipi?
hahaa nawewe unaamoni ujinga ulioandikaSiku ya kufufuliwa tutatoka ktk tumbo la ardhi na kuulizana ardhi hii leo ina nini?!na kila atakaejiuliza amekaa mda gn kaburini jibu lake ni siku moja au ktk shm ya siku tu!km umelala then ukaamka.
Izrail mtoa roho kabla ya kiama atatumwa atoe roho viumbe wote waliobaki akimaliza atamuuliza mungu nimeshamaliza mungu atamjibu bado jamaa atarudi atazunguka kote hadi kw malaika atakuta wamekufa kisha atamrudia mungu kumueleza kwmb hamna kilichobaki.
Hapo mungu atamjibu ni ww pekee ndo umebaki jitoe roho unikabidhi ataitoa huku akilia kwa uchungu.
Baada ya hapo huku duniani itanyesha mvua ya shahawa na watu wataanza kufufuka na kujiuliza kuna nini tena tunaamshwa usungizi ulikuwa mtamu?!
Hapo ndo mungu muumba atasimama na kusema leo ndo siku ya haki hakuna atakaeonewa isipokuwa kwa aliyoyatenda.hii siku haina shaka ndugu zangu sbb huku duniani hakuna haki mkubwa anaonea mdogo tajir anatesa maskini
Huo ndio uwendawazimu wa wanaoamini katika ulimwengu huru. Sheria za ulimwengu huru kazitunga nani? Zimejitunga zenyewe?Ni wendawazimu kukataa kwamba ulimwengu ulitokea out of nothing halafu hapo hapo ukaamini kuwa eti mungu alitokea tu!.Think big!
Karibu katika ulimwengu huru!
..........Free ideas.......
Uvivu wa kufikiri unaruhusiwa katika ulimwengu huru?Kila kitu kiko wazi sayansi inaeleza hatua zote labda ni uvivu wa kusoma tu!
............free ideas.....
safi sana mkuu umepiga ya kichwa,huo ulimwengu huru unatokea tu bila kua created.Ulimwengu huru ulijitengeneza wenyewe?
Who created the laws of nature?
Nimesikia hata computers na manowari zilijitengeneza zenyewe, karibuni kwenye ulimwengu wa full(fool?)automation!
Ni nani aliyeutengeneza huo ulimwengu huru unaosema?
Huwezi kumtambua Mungu unaposhindwa kujitambua mwenyewe. Na hiyo ndio Changamoto yako.
Link The Noble Quran - القرآن الكريم
Huo ndio uwendawazimu wa wanaoamini katika ulimwengu huru. Sheria za ulimwengu huru kazitunga nani? Zimejitunga zenyewe?
Unaelewa Mungu ni nani?
Unaelewa dhana ya " space, time and matter" na uhusiano wake na ulimwengu huru?
Jitumbue majipu ili uingie katika ulimwengu huru. Wewe hutakiwi kufikiri kabisa!
Kwa hiyo kwako wewe ulimwengu huru ni Idea tu?Kabla hujauliza iweje ulimwengu utokee tu,tafakari iweje mungu(kama yupo)atokee tu.!
Najua mungu ni Idea tu
Space time and matter nazijua labla wewe ndo huzijui!
Karibu katika ulimwengu huru
.........Free ideas.....
Free ideasKabla hujauliza iweje ulimwengu utokee tu,tafakari iweje mungu(kama yupo)atokee tu.!
Najua mungu ni Idea tu
Space time and matter nazijua labla wewe ndo huzijui!
Karibu katika ulimwengu huru
.........Free ideas.....
Ulimwengu huru ni Idea tu?Kabla hujauliza iweje ulimwengu utokee tu,tafakari iweje mungu(kama yupo)atokee tu.!
Najua mungu ni Idea tu
Space time and matter nazijua labla wewe ndo huzijui!
Karibu katika ulimwengu huru
.........Free ideas.....
Kweli umepiga domo.all livings things hapa dunian vimeshapitia kihama in a sense of exntiction the major one ilikua the permian exntiction ambayo ilitokea almost miaka milioni 250 iliyopita na almost 96% of species were wiped out.
Kihama cha all mankind katika karne yetu kinaweza kusababishwa na either kimondo chenye ukubwa kuipiga dunia, au vita ya nuclear katika ya nchi kubwa au ugonjwa wowote wa mlipuko unaosababishwa na super virus au bacteria.
Pia kuharibu ozone layer kutokana na uchafuzi wa mazingira kunaweza kuchangia kuleta kihama kwetu binadamu na all land animals. Bila ozone layer ambayo imechukua zaidi ya miaka milioni 120 kutengenezwa kutokana na oxygen ilikuwa inatoka baharini na kufanya chemical reaction na sunrays maisha ya viumbe hai ardhini yasingewezekana kwasababu ya dangerous radiation kutoka kwenye jua.
Lakini kiama cha dunia kama dunia ni almost miaka billion moja ijayo in which jua litakua limetumia hydrogen yake vya kutosha na likisha'exhaust elements zote kama fuel then litapanuka kwa ukubwa in which dunia inaweza kuwa swallowed na gravity ya jua.