Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante muelezeFlagship yoyote mkuu ni kuandaa tu milioni 2 siku hizi. Na Hizi highend za siku hizi hazikai na chaji compare na za 2019 na 2020, nakuona hapo umeikazania 5000mah, hio haitakusaidia ikiwa simu ina sd 8 gen 1.
![]()
Hii top midrange na 4250mah
![]()
Daah invisible front camera
Kwa nini flagship hazikai na chaji wakati zina proccesors za kisasa zaidi,?Flagship yoyote mkuu ni kuandaa tu milioni 2 siku hizi. Na Hizi highend za siku hizi hazikai na chaji compare na za 2019 na 2020, nakuona hapo umeikazania 5000mah, hio haitakusaidia ikiwa simu ina sd 8 gen 1.
![]()
Hii top midrange na 4250mah
![]()
Inategemea na Generation mkuu. Snapdragon 855, 860, 865 na 870 zinakaa sana na Charge, ila miaka hii miwili soc za flagship za Android hazikua vizuri sababu ya mambo mawiliKwa nini flagship hazikai na chaji wakati zina proccesors za kisasa zaidi,?
Doh !Inategemea na Generation mkuu. Snapdragon 855, 860, 865 na 870 zinakaa sana na Charge, ila miaka hii miwili soc za flagship za Android hazikua vizuri sababu ya mambo mawili
1. Manufacturing process ya samsung ambayo sio advanced kama ya TSMC
2. Uwepo wa Cortex X1/X2 ambazo ni core mpya za Flagship, zinabugia chaji balaa.
Kama upo sokoni sasa hivi unataka simu kali Tafuta yenye snapdragon 865 ama 870 utapata simu nzuri inayokaa na chaji.
Hapo nimeongelea kwenye flagship.
Ukija kwanini flagship hazikai na chaji kama midrange flagship nyingi zina vifaa vya kisasa vinavyokula sana chaji kama Display zenye resolution kubwa zipo za 4k na 2k kibao, processor ikiwa na nguvu inakula sana chaji, speaker, mic, ram, storage na mambo mengine mengi yanakuwa na perfomance kubwa zaidi.