Sam mirror
JF-Expert Member
- Sep 29, 2018
- 1,461
- 2,238
utaratibu ukoje karatasi aionekani vzr na vigezo na masharti ni vp, samahani kwa usumbufu ndugu.
kivp mkuu na hao wadhamini wanaweka vitu gani ata nikiwaambia wawe na uelewa, samahani naitaji msaada wakoKwanza kamilisha ifike 2,000,000. Halafu tafuta wadhimini wawili watakao kudhamini.
mkuu ulikopaje msaada wako utakuwa umenisaidia sana. Natanguliza shukurani kuanzia vigezo mpaka ukapata bajajiBiashara nzuri mm nimenunua moja nimempa Dereva anaendesha nategemea Misha zangu zikiisha nikope nyingine niendeshe mwenyew
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante kwa elimu mlyonipa kuhusu mkopi wa bajaji crdbmliyonioa