Naomba kujua utaratibu wa kumiliki bajaji

Naomba kujua utaratibu wa kumiliki bajaji

Sam mirror

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2018
Posts
1,461
Reaction score
2,238
Habari wakuu,

kama vijana tunavyozidi kupambana na msoto wa maisha ya mtaa, naomba msaada wa kujua utaratibu wa kumiliki bajaji kwa kutoa kianzio unakuwa unapeleka kidogo kidogo.

Nimejichangaa nime save kama milioni 1.5 lakini nilikuwa nahitaji bajaji, mwenye ufahamu wowote kuhusiana na hili na changamoto za bajaji.

Location nipo mbeya mjini, nitashukuru nikipata mawazo yenu.🙏🙏🙏
 
Kopa bajaj
IMG_20200312_101116_8.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza kamilisha ifike 2,000,000. Halafu tafuta wadhimini wawili watakao kudhamini.
 
Biashara nzuri mmi nimenunua moja nimempa Dereva anaendesha nategemea Misha zangu zikiisha nikope nyingine niendeshe mwenye.
 
Kwanza kamilisha ifike 2,000,000. Halafu tafuta wadhimini wawili watakao kudhamini.
kivp mkuu na hao wadhamini wanaweka vitu gani ata nikiwaambia wawe na uelewa, samahani naitaji msaada wako
 
Back
Top Bottom