Sam mirror
JF-Expert Member
- Sep 29, 2018
- 1,461
- 2,238
Habari wakuu,
kama vijana tunavyozidi kupambana na msoto wa maisha ya mtaa, naomba msaada wa kujua utaratibu wa kumiliki bajaji kwa kutoa kianzio unakuwa unapeleka kidogo kidogo.
Nimejichangaa nime save kama milioni 1.5 lakini nilikuwa nahitaji bajaji, mwenye ufahamu wowote kuhusiana na hili na changamoto za bajaji.
Location nipo mbeya mjini, nitashukuru nikipata mawazo yenu.🙏🙏🙏