Naomba kujua utaratibu wa kununua pesa za kigeni katika mabenki

guwe_la_manga

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2019
Posts
2,820
Reaction score
2,758
Naomba kujuzwa hatua za kufuata nikitaka kununua pesa za kigeni kwenye mabenki?
 
Nenda benki na cash waambie nataka kununua dola, wanakuuzia kulingana na rate za siku hiyo ,mfano CRDB wao watakuuzia kwa rate ya 1USD ni sawa na Tsh 2349.00
dola.PNG
 
Limit sifahamu, nenda bank au wapigie kwanza bank husika unayotaka kwenda ili uconfirm
Shukrani,
Swali la mwisho,hapo kwenye buying ningependa kupata ufafanuzi kidogo
 
"hawatoniomba nyaraka yeyote ile?"

Nenda na kitambulisho, na kama unataka dollar mingi chukua documents ambayo ita-support wewe kuuziwa(mfano: manunuzi ya kitu or vitu, or unataka kusafiri ama unauguza mtu so ni malipo ya bili ya hospital). Bila hivyo utauziwa dollar cheche tu.
 
njiro
Swali kidogo nje ya mada,hv mfano nikizinunua hizo sarafu,mathalani KES,afu siku nikiamua kuwauzia tena benki kuna faida yeyote nitakayoipata?
 
Najibu ifuatavyo kwa uelewa wangu.

Kwanza KES(Kenya Shillings kwa sasa benki hazipokelewi. Benki Kuu ilisimamisha... Kulikuwa na mabadiliko ya fedha kule kwao. Kutoa noti za zamani na kuanza kutumia noti mpya, sijui kama ilo agizo limeshabadilishwa au la)

Mara nyingi ukienda kununua Hizi pesa za kigeni benki utauziwa kwa bei kubwa kidogo. Fanya uchunguzi wa benki zote nchini, bei ya kununua na kuuza zinakautofauti . Ukipeleka pesa ya kigeni kuuza katika benki zetu hizi... bei watakayonunulia itakuwa chini kuliko bei ya wewe utakayoenda kunua pesa ndani ya benki.

Kupata faida inawezekana iwapo kutakuwa na uhaba wa pesa za kigeni nchini. Hii itazilazimu benki kuongeza bei yao ya kununulia. so iwapo ulinunua kwa bei ambayo ni kubwa kuliko hiyo ambayo benki ina nunua pesa kwa wakati huo then utapata faida.
 
Nashukuru sana,
 
Biashara hii ni ya kizamani sana,technology imetuleta fursa nyingine ya kutrade forex kama mbadala wa kufanya hivo unavyotaka kufanya.
 
Back
Top Bottom