Chance ndoto
JF-Expert Member
- Mar 8, 2017
- 4,363
- 10,265
Habari za wakati huu Wanajamvi wenzangu.
Mimi ni mfanyabiashara, sasa Naamini humu kuna wafanyabiashara, au waheshimiwa wahusika wa maeneo ya mwenge.
Ningependa kujua yale majengo mapya, maduka mwenge ,utaratibu gani unatumika kupata fremu pale, na je! Gharama zake zipoje?
Ningependa kujua maana nimezoea kuona watu huwahi fremu kama zile kabla ya kumalizika.
Naomba kuwasilisha.