Chance ndoto
JF-Expert Member
- Mar 8, 2017
- 4,363
- 10,265
Duu, wakati huo Kariakoo uchochoro tu unalipa hadi 1mil kwa mweziFrem za uchochoroni ni sio chini ya laki 2 zile kubwa hizo za kwenye barabara ni kuanzia 300
Zile frame nafikiri hazijaanza kuuuzwa au kumilikwisha kwa watu, ika ujenzi wake bado umesimama kwa muda sasa. Tujipe muda ujenzi ukianza tutakua na majibu sahihi toka halmashauri.
Kama lengo ni kukaa mwenge hivi sasa kuendesha shughuli zako, unaweza kwenda pale lugalo ukisubiri uku mradi uanze.
Lugalo wameanza kuuza?
Bei gani pale?Yaah wanauza
Unapanga unanunua?Duu, wakati huo kariakoo uchochoro tu unalipa hadi 1mil kwa mwezi
Hilo nalo ni swali? Kule kiwanja kinaanzia bilioni kadhaaUnapanga unanunua?
😁wapi hukoHuku fremu elfu 20
Mkuu kama unafahamu bei ya hapo Lugalo tafadhali tutajie tuone inakuajeYaah wanauza
Fremu ipi unamaanisha Bi Dada?Huku fremu elfu 20
Mkuu Kama una fahamu bei ya hapo lugalo tafadhali tutajie tuone inakuaje
Kijiji gani hicho mpaka leo frem ni 20,000 maana nimetembea vijiji vya porini kabisa lakini unakuta frem ni 40,000 na zile zilizochangamka sana unakuta bei inaenda mpaka 100,000+, manispaa na majiji mengine tofauti na Dar ni 50k - 500k sasa hyo 20k sijui ni wapiHuku fremu elfu 20