Blood of Jesus
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 4,486
- 8,098
Sababu ni kuwa Ulaya wana vigezo vyao kwa kila bidhaa wanayoiagiza toka nje ya Ulaya, kwa hiyo siyo tu RAV 4 au magari hata TV, simu, chakula n.k.Kwanini Rav4 ya UK iko tofauti sana na ya kuagiza Japan?
Nimebahatika xtrail ya GB iko tofauti kidogo na japan, speed tu 220, engine yd22 diesel.Kwanini Rav4 ya UK iko tofauti sana na ya kuagiza Japan?
Nilikuwa natafuta hii comment baada ya kuona kichwa cha mada.... HahahaaaMie manual inanisaidia kwanza kuniepusha na lawama za kuazimana azimana magari hovyo mtu hana hata safari ya muhimu anaazima gari.[emoji23]
Aisee waswahili sisi tuna nogwa mtu hana safari ya maana kwa kuwa fulani ana kamkweche basi ni mwendo wa kuazimana, kuna zile safari kuazima chombo(usafiri) hakuna namna, mnamuwahisha hospital mgonjwa, mnaenda kumchukua mgonjwa n.k lakini sio hizi nyingine, niazime niende beach.Nilikuwa natafuta hii comment baada ya kuona kichwa cha mada.... Hahahaaa
Wazungu wanapenda kupiga fimbo, raha ya gari iwe manualAjabu UK niliona gari nyingi sana manual.
Manual inaboa sana Barbara zetu hizi za foleni kali kama Dar
Ila barabara kama haina foleni sana ni fresh sana, automatic ni chaguo bora zaidi kwa RAV 4 sababu ya kusevu mafuta kwenye foleni ukilinganisha na manual.
Kiundani, RAV 4 manual inatumia mafuta vizuri sana na inadumu sana. Vifaa vyake vinapatikana kwa urahisi. Wengine watajazia...
hahahahahaAutomatic ni magari ya kuendesha wanawake.
Kama ni ivyo itafika miaka wanaume watakua hawaendeshi magari.maana swala la manual au automatic linatokana na mabadiliko ya teknolojia na kwakadri miaka inavyoenda vyombo vingi vya moto vitakua vinatengenezwa automatic.Automatic ni magari ya kuendesha wanawake.
Umeongea point mkuu,, sikuhizi hata semi trailer Ni auto unakuta kamtu Kisa Ana cruiser ya 1990 anajisifia kuendesha manualMtu anayehangaika kuendesha gari manual hasa private car miaka hii ni wale watu wanaoishi nyuma ya muda.......kwa sasa watu wapo kwenye teknolojia ya gari ambazo zinajiendesha zenyewe bila hata dereva kugusa sterling, leo hii mtu anajisifia kuendesha gari manual? siku hizi hata ndege unaweka kwenye autopilot na rubani anaweza kupiga usingizi kama abiria wengine......na inakoelekea ndege zitakuwa zinaendeshwa kutokea ardhini kwenye control room.