Naomba kujua utofauti uliopo kati ya gari "manual" na "automatic" kifaida na kihasara. Na pia naomba kujua kiundani kidogo dondoo za RAV 4 manual

Naomba kujua utofauti uliopo kati ya gari "manual" na "automatic" kifaida na kihasara. Na pia naomba kujua kiundani kidogo dondoo za RAV 4 manual

Nilikuwa natafuta hii comment baada ya kuona kichwa cha mada.... Hahahaaa
Aisee waswahili sisi tuna nogwa mtu hana safari ya maana kwa kuwa fulani ana kamkweche basi ni mwendo wa kuazimana, kuna zile safari kuazima chombo(usafiri) hakuna namna, mnamuwahisha hospital mgonjwa, mnaenda kumchukua mgonjwa n.k lakini sio hizi nyingine, niazime niende beach.
 
Manual inaboa sana Barbara zetu hizi za foleni kali kama Dar

Ila barabara kama haina foleni sana ni fresh sana, automatic ni chaguo bora zaidi kwa RAV 4 sababu ya kusevu mafuta kwenye foleni ukilinganisha na manual.

Kiundani, RAV 4 manual inatumia mafuta vizuri sana na inadumu sana. Vifaa vyake vinapatikana kwa urahisi. Wengine watajazia...
 
Manual inaboa sana Barbara zetu hizi za foleni kali kama Dar

Ila barabara kama haina foleni sana ni fresh sana, automatic ni chaguo bora zaidi kwa RAV 4 sababu ya kusevu mafuta kwenye foleni ukilinganisha na manual.

Kiundani, RAV 4 manual inatumia mafuta vizuri sana na inadumu sana. Vifaa vyake vinapatikana kwa urahisi. Wengine watajazia...

Point namba 1 nakubaliana na wewe changamoto ya manual ni safari fupi fupi na foleni maana inachosha guu la kushoto kukanyaga clutch kila mara.

Pili, hapo kwenye mafuta kusevu kwenye gari automatic nahitaji ufafanuzi zaidi ni vipi unasevu mafuta kwenye foleni gari ikiwa automatic.

Tatu, gari manual ununue ambayo unajua fika huwezi kuwaza kuiza maana ikifika wakati huo labda unashida ya haraka itachukua muda sana maana wateja wengi wataikwepa.

Nne, binafsi napenda sana gari manual nilishawahi kuwa nayo kwa safari ndefu ni nzuri sana. Huko mbeleni Allah akinijaalia tena nitamiliki manual InshaAllah.
 
Mtu anayehangaika kuendesha gari manual hasa private car miaka hii ni wale watu wanaoishi nyuma ya muda.......kwa sasa watu wapo kwenye teknolojia ya gari ambazo zinajiendesha zenyewe bila hata dereva kugusa sterling, leo hii mtu anajisifia kuendesha gari manual?

Siku hizi hata ndege unaweka kwenye autopilot na rubani anaweza kupiga usingizi kama abiria wengine......na inakoelekea ndege zitakuwa zinaendeshwa kutokea ardhini kwenye control room.
 
Automatic ni magari ya kuendesha wanawake.
Kama ni ivyo itafika miaka wanaume watakua hawaendeshi magari.maana swala la manual au automatic linatokana na mabadiliko ya teknolojia na kwakadri miaka inavyoenda vyombo vingi vya moto vitakua vinatengenezwa automatic.

Hata ivyo ndege na meli ni automatic sasa sijui nazenyewe zilitengenezwa hivyo ili ziendeshwe na wanawake tu au ulimaanisha nini kusema auto nizakuendesha wanawake.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Mtu anayehangaika kuendesha gari manual hasa private car miaka hii ni wale watu wanaoishi nyuma ya muda.......kwa sasa watu wapo kwenye teknolojia ya gari ambazo zinajiendesha zenyewe bila hata dereva kugusa sterling, leo hii mtu anajisifia kuendesha gari manual? siku hizi hata ndege unaweka kwenye autopilot na rubani anaweza kupiga usingizi kama abiria wengine......na inakoelekea ndege zitakuwa zinaendeshwa kutokea ardhini kwenye control room.
Umeongea point mkuu,, sikuhizi hata semi trailer Ni auto unakuta kamtu Kisa Ana cruiser ya 1990 anajisifia kuendesha manual
 
Back
Top Bottom