Naomba kujua utofauti uliopo kati ya gari "manual" na "automatic" kifaida na kihasara. Na pia naomba kujua kiundani kidogo dondoo za RAV 4 manual

Jombaa kuna aina ya magari manual ndio yananunulika zaidi hata kampuni huwa zinaweka uwiano sawa wa uzalishaji wake. Mf. mzuri ni Suzuki Jimny (2018 ~ up to now).

Mimi nimenunua kamoja muda sio mrefu hutu tugari manual vinaisha haraka sana tena hapa hapa bongo tu. Uzuri wa Jimny manual yake ni cheap zaidi kwa tofauti ya milioni 7 na auto yake.
 
Hahaha sure aisee.. Manual unafanya majaribio kirahisi.. Ni fun kupiga gia aisee..!
Tofauti na Auto.. Life span yote ya gari unaweza kuishia kutumia P R na D tuu..!
 
Sure zitapungua.. Ila sio technology ya zamani.. Technology ya mwanzo.. Automatic cars zipo tangu miaka ya 1940.. Kabla hata ya vita kuu za Dunia ii.. Hiyo ni karibu..!!?

Aisee manual gears zamani hazikuwepo mpaka 5 speed.. Kampuni nyingi za magari zimeanza 5 speed miaka ya 80..!
7 speed imeanza kutumika magari ya 2012..!
Kwahiyo ni technology inayoboreshwa..!
Haipo stagnant.. Ukiendesha Fiat lorry la miaka hiyo ni tofauti na lorry la leo..!
 
Watu tunaoendesha na kununua land cruisers only za kwenda porini nk.. TUNAFAHAMU FAIDA YA MANUAL TRANSMISSION. LC yako kama ni automatic.. Una hasara kubwa sana kwa kazi zetu. Mimi hizo gari nyingine kama Rav4 siwezi comment sababu hizo ni gari za mjini tu..
 
Wametoka huko wapi? Serikali na Mashirika mpaka sasa wanaagiza hizo gari za Manual hata hilo V8 analotembelea Samia Saluhu ni Manual hiyo Technology ya Manual haiwezi kuisha karibuni kama unavyofikiria.
Lc300 manual hamna wakinunua hizo zitabaki prado j150 hizo na yale ma Hilux ma manual
 
Nowdays unaendesha manual simple balaa...niliwah shika gari moja mwenye nayo by 2012 lilikuwa linafikisha miaka 20 mikononi mwake asee ni ligumu kwanzia magia yake ila sa hivi unashika ka Hilux cha miaka ya karibuni au isuzu dmax ka gia kadogo simple sana kuendesha
 
Hahaha sure aisee.. Manual unafanya majaribio kirahisi.. Ni fun kupiga gia aisee..!
Tofauti na Auto.. Life span yote ya gari unaweza kuishia kutumia P R na D tuu..!
Yeah kuna watu pale kwenye L au 2 hawajawah weka
 
Voice of a man from London GB.
 

Af akibamiza sijui inakuaje?
 
Hivi hizo jimny mpya zimekaa kama box sh ngap
 
Umeongea point mkuu,, sikuhizi hata semi trailer Ni auto unakuta kamtu Kisa Ana cruiser ya 1990 anajisifia kuendesha manual

Scania zinakuja na Opticruise af na Cruise control juu.

Yaani zile pedal mbili za chini unatumia tu breki peke yake.

Hizo gari siyo kama ndio zipo Ulaya, zipo humu mjini watu wanaendesha kila siku.
 
Mkuu unajisifia umasikini?? Watu wametoka huko miaka mingi. Hakuna gari imetoka miaka ya karibuni wakaweka MANUAL.
Land Cruiser 70 series aka mkonga mpaka kesho wanaweka Manual.

Walitry kuweka auto miaka ya 90 lakini wakaacha wakarudi kwenye manual.

so usiseme hazipo.
 
Wametoka huko wapi? Serikali na Mashirika mpaka sasa wanaagiza hizo gari za Manual hata hilo V8 analotembelea Samia Saluhu ni Manual hiyo Technology ya Manual haiwezi kuisha karibuni kama unavyofikiria.

Hizi V8 unaziona Road hasa kuanzia 200 series manual ni chache sana. Nyingi unaziona ni road ni Auto.

300 series ndio wamefuta kabisa manual.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…