Jombaa kuna aina ya magari manual ndio yananunulika zaidi hata kampuni huwa zinaweka uwiano sawa wa uzalishaji wake. Mf. mzuri ni Suzuki Jimny (2018 ~ up to now).Mtu anayehangaika kuendesha gari manual hasa private car miaka hii ni wale watu wanaoishi nyuma ya muda.......kwa sasa watu wapo kwenye teknolojia ya gari ambazo zinajiendesha zenyewe bila hata dereva kugusa sterling, leo hii mtu anajisifia kuendesha gari manual?
Siku hizi hata ndege unaweka kwenye autopilot na rubani anaweza kupiga usingizi kama abiria wengine......na inakoelekea ndege zitakuwa zinaendeshwa kutokea ardhini kwenye control room.
Mimi nimenunua kamoja muda sio mrefu hutu tugari manual vinaisha haraka sana tena hapa hapa bongo tu. Uzuri wa Jimny manual yake ni cheap zaidi kwa tofauti ya milioni 7 na auto yake.