Naomba kujua utofauti uliopo kati ya gari "manual" na "automatic" kifaida na kihasara. Na pia naomba kujua kiundani kidogo dondoo za RAV 4 manual

Nimebahatika xtrail ya GB iko tofauti kidogo na japan, speed tu 220, engine yd22 diesel.
Sio kidogo mkuu bali ni sana. UK product zipo njema sana. Niliwahi kushauriwa na ndugu RRONDO juu ya hii gari toka UK, ilikuwa ni sport pia, kiukweli sikuwahi kujuta.

Gari ilikuwa inashika barabara mpaka raha. Kwa safari ndefu ilikuwa poa mno. Ilikuja kuleta shida iliyosababishwa na rejeta kupoteza maji, nikajichanganya kuchukua engine complete toka Japan beforward na hapo ndio ukawa mwisho wa kuenjoy ile gari. Ikapoteza nguvu kabisaaa.
 
Pole chief.
 
I like it.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…