Naomba kujua utofauti uliopo kati ya gari "manual" na "automatic" kifaida na kihasara. Na pia naomba kujua kiundani kidogo dondoo za RAV 4 manual

Naomba kujua utofauti uliopo kati ya gari "manual" na "automatic" kifaida na kihasara. Na pia naomba kujua kiundani kidogo dondoo za RAV 4 manual

Nimebahatika xtrail ya GB iko tofauti kidogo na japan, speed tu 220, engine yd22 diesel.
Sio kidogo mkuu bali ni sana. UK product zipo njema sana. Niliwahi kushauriwa na ndugu RRONDO juu ya hii gari toka UK, ilikuwa ni sport pia, kiukweli sikuwahi kujuta.

Gari ilikuwa inashika barabara mpaka raha. Kwa safari ndefu ilikuwa poa mno. Ilikuja kuleta shida iliyosababishwa na rejeta kupoteza maji, nikajichanganya kuchukua engine complete toka Japan beforward na hapo ndio ukawa mwisho wa kuenjoy ile gari. Ikapoteza nguvu kabisaaa.
 
Pole chief.
 
Aisee katika mambo ya ovyo niliyokutana nayo wiki hii hii ni moja wapo..
Huwezi kututaja WaTanzania kuwa hatuna weledi.. Sema wewe na familia yako hamna weledi.. Tanzania Taifa kubwa kaa mbali na sisi..!

Blood of Jesus ameulizia utofauti wa Manual na Automatic.. Akaongezea kwenye Rav4..
Wadau wametoa tofauti mbali mbali.. Lazima kuna kitu amepata..!
Wewe hujasema faida au hata hasara moja.. Unalaumu tuu..!

Unasema kwenye platforms atapata maelezo ya kitaalamu..! Hii JamiiForums sio platform!!?
Huo ndio weledi unaozungumzia!!?

Yeye kaamua kupita ruti ya JamiiForums.. Na humu wataalamu wapo wengi tuu.. Hata kama kuna pumba ila bado hawezi kukosa madini..!

Jifunze kuwa na heshima na Wa🇹🇿...!
I like it.
 
Back
Top Bottom