makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Afadhali huyo kaka, hata next time akiomba muazime wengine ni sorry tu kaka.Mi juz kat mshkaj kabunja taa ya nyuma ya ist yangu kanunua kafunga kabisa ila nimemind yangu mtumba kaweka la dukan dah