Naomba kujua vipengele vya Katiba ya CCM vilivyofanyiwa marekebisho

Dodoma leo

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2021
Posts
1,336
Reaction score
1,658
Ndugu zangu Leo ilikuwa siku ya shamra shamra kubwa sana ndan ya Jiji letu la Dodoma. Nimeona mengi s'na. Ila Jambo Moja ambalo cjajua ni hili, ni vipengele vipi vimefanyiwa marekebisho ndan ya Katiba.
 
Ni Imani yangu kuwa ni pamoja na kuwacha uchafuzi wa chaguzi,kujiepusha na ubambikiaji,na kuondosha katazo la siasa za majukwaani Kwa vyama mbadala/wapinzani wa wanakijani/wanachukua chako mapema,(ccm)🤔
 
Nimewauliza watu wangu watatu wa karibu ambao ni wajumbe wa mkutano mkuu kuhusu mabadiliko hayo ya katiba yao, ni mmoja tu ndiye ameweza kunitajia matano kati ya 12.
Nimegundua ule ni mkusanyiko wa wana "1st April" tuu.
 
Wasije kukugawana TU kwani roho zao nafuu ya za fisi 🤸
 
Ndugu zangu Leo ilikuwa siku ya shamra shamra kubwa sana ndan ya Jiji letu la Dodoma. Nimeona mengi s'na. Ila Jambo Moja ambalo cjajua ni hili, ni vipengele vipi vimefanyiwa marekebisho ndan ya Katiba.
Tuambie kwanza yaliyobadilishwa chadema kama unayafahamu.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Na ukitaka kujua pro CCM humu jamvini ni vilaza sana,hakuna hata mmoja aliyepandisha uzi kuhusu mabadiliko hayo.
Hawayajui,hawana habari nayo,hayana umuhimu kwao, kwa chama na kwa nch!!!??
Najiuliza sana hapa.
Sema mkuu.
Hata 'Johnthebabtist' tuliyemtegema sana kwa mambo kama haya enzi zile za kipenzi chake, leo hii huoni akipandisha uzi muhimu kama huo.

Wao wenyewe waliohudhuria mkutano huo, wameamua kuondoka kimya kimya, ikiashiria kwamba mabadiliko hayo, kama yapo kweli ni kwa minajiri yao.
Hii ni CCM ya 'ujanja ujanja' na hadaa nyingi.
 
Mmoja nimeoa dada yake,ni Mwenyekiti wa CCM mkoa fulani. Ila ni kilaza wa kupindukia mpaka naona aibu kumtambulisha na kuwa naye na marafiki zangu.
Heee Heee nheeee!
Mkuu, jihadhari sana, vijana wako wasije wakawa wamebeba baadhi ya 'gene' za mjomba!
 
Naona kubwa zaidi ilikuwa kuondoa yale yote yaliyowekwa na JPM kwa hiyo hairuhusiwi mtu yoyote anayefanana na JPM kitabia , kiuongozi hata kuzungumza kupewa uongozi ndani ya chama na serikalini. Maana leo nimeona sherehe mpaka mstaafu mmoja alikuwa anashangilia kama yule mchezaji mkongo wa Yanga ilikuwa sherehe basi tuendelee kushehereka lakini mbele kuna kilio na kusaga meno
 
Majuto ni Mjukuu Sukuma Gang
 
Ndugu zangu Leo ilikuwa siku ya shamra shamra kubwa sana ndan ya Jiji letu la Dodoma. Nimeona mengi s'na. Ila Jambo Moja ambalo cjajua ni hili, ni vipengele vipi vimefanyiwa marekebisho ndan ya Katiba.
HAKUNA kilichorekebishwa
 
Nimewauliza watu wangu watatu wa karibu ambao ni wajumbe wa mkutano mkuu kuhusu mabadiliko hayo ya katiba yao, ni mmoja tu ndiye ameweza kunitajia matano kati ya 12.
Nimegundua ule ni mkusanyiko wa wana "1st April" tuu.
Tusaidie tuyajue bas
 
Ndugu zangu Leo ilikuwa siku ya shamra shamra kubwa sana ndan ya Jiji letu la Dodoma. Nimeona mengi s'na. Ila Jambo Moja ambalo cjajua ni hili, ni vipengele vipi vimefanyiwa marekebisho ndan ya Katiba.
Ni kwamba kikuwa 'chama dola' sasa ni 'chama ndoa'
 
Back
Top Bottom