Dodoma leo
JF-Expert Member
- Jan 7, 2021
- 1,336
- 1,658
Ni Imani yangu kuwa ni pamoja na kuwacha uchafuzi wa chaguzi,kujiepusha na ubambikiaji,na kuondosha katazo la siasa za majukwaani Kwa vyama mbadala/wapinzani wa wanakijani/wanachukua chako mapema,(ccm)🤔Ndugu zangu Leo ilikuwa siku ya shamra shamra kubwa sana ndan ya Jiji letu la Dodoma. Nimeona mengi s'na. Ila Jambo Moja ambalo cjajua ni hili, ni vipengele vipi vimefanyiwa marekebisho ndan ya Katiba.
Wasije kukugawana TU kwani roho zao nafuu ya za fisi 🤸Nimewauliza watu wangu watatu wa karibu ambao ni wajumbe wa mkutano mkuu kuhusu mabadiliko hayo ya katiba yao, ni mmoja tu ndiye ameweza kunitajia matano kati ya 12.
Nimegundua ule ni mkusanyiko wa wana "1st April" tuu.
Wasije kukugawana TU kwani roho zao nafuu ya za fisi 🤸
Tuambie kwanza yaliyobadilishwa chadema kama unayafahamu.Ndugu zangu Leo ilikuwa siku ya shamra shamra kubwa sana ndan ya Jiji letu la Dodoma. Nimeona mengi s'na. Ila Jambo Moja ambalo cjajua ni hili, ni vipengele vipi vimefanyiwa marekebisho ndan ya Katiba.
Sema mkuu.Na ukitaka kujua pro CCM humu jamvini ni vilaza sana,hakuna hata mmoja aliyepandisha uzi kuhusu mabadiliko hayo.
Hawayajui,hawana habari nayo,hayana umuhimu kwao, kwa chama na kwa nch!!!??
Najiuliza sana hapa.
Heee Heee nheeee!Mmoja nimeoa dada yake,ni Mwenyekiti wa CCM mkoa fulani. Ila ni kilaza wa kupindukia mpaka naona aibu kumtambulisha na kuwa naye na marafiki zangu.
Wote hakuna anayependa siasa wala uongozi. Ninachojivunia zaidi ni kuwa wanaichukia sana CCM.Heee Heee nheeee!
Mkuu, jihadhari sana, vijana wako wasije wakawa wamebeba baadhi ya 'gene' za mjomba!
Majuto ni Mjukuu Sukuma GangNaona kubwa zaidi ilikuwa kuondoa yale yote yaliyowekwa na JPM kwa hiyo hairuhusiwi mtu yoyote anayefanana na JPM kitabia , kiuongozi hata kuzungumza kupewa uongozi ndani ya chama na serikalini. Maana leo nimeona sherehe mpaka mstaafu mmoja alikuwa anashangilia kama yule mchezaji mkongo wa Yanga ilikuwa sherehe basi tuendelee kushehereka lakini mbele kuna kilio na kusaga meno
HAKUNA kilichorekebishwaNdugu zangu Leo ilikuwa siku ya shamra shamra kubwa sana ndan ya Jiji letu la Dodoma. Nimeona mengi s'na. Ila Jambo Moja ambalo cjajua ni hili, ni vipengele vipi vimefanyiwa marekebisho ndan ya Katiba.
Itatusaidia kujua yaliyoulizwa?Kua!Tuambie kwanza yaliyobadilishwa chadema kama unayafahamu.
Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Tusaidie tuyajue basNimewauliza watu wangu watatu wa karibu ambao ni wajumbe wa mkutano mkuu kuhusu mabadiliko hayo ya katiba yao, ni mmoja tu ndiye ameweza kunitajia matano kati ya 12.
Nimegundua ule ni mkusanyiko wa wana "1st April" tuu.
Marekebisho ya Katiba, alafu hakuna kilichorekebishwa?HAKUNA kilichorekebishwa
Ni kwamba kikuwa 'chama dola' sasa ni 'chama ndoa'Ndugu zangu Leo ilikuwa siku ya shamra shamra kubwa sana ndan ya Jiji letu la Dodoma. Nimeona mengi s'na. Ila Jambo Moja ambalo cjajua ni hili, ni vipengele vipi vimefanyiwa marekebisho ndan ya Katiba.
Waombe wanaCCM wakusaidie kuyajua.Tusaidie tuyajue bas